Dk Slaa: Bado naweza kurudi kuwa Padre

Dk Slaa: Bado naweza kurudi kuwa Padre

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Namuona hapa TBC1 balozi mstaafu Dkt. Slaa anapiga kamba eti kwa kanuni za Kanisa canon law anaweza kurejea madhabahuni akawaongoza kandoo za bwana waende mbinguni.

Eti wajuvi ni kweli huyu Mwanasiasa anaweza kurudi kanisani au ndio tunapigwa kamba.

USSR
 
Namuona hapa TBC1 balozi mstaafu Dk slaa anapiga kamba eti kwa kanuni za kabisa canon law anaweza kurejea madhabahuni akawaongoza kandoo za bwana waende mbinguni

Eti wajuvi ni kweli huyu Mwanasiasa anaweza kurudi kanisani au ndio tunapigwa kamba

USSR

Kwanza hiyo TBC1 bado ipo siku hizi au unaleta story za kutunga?
 
Hawezi Tena Aendelee Kuloweka
Kanisa Halina Shida Ya Watu
Huyo Labda Kufanya Usafi

Hiyo nguvu yenyewe ya kuloweka ipo basi? Kwa age kama ile hata ukisimama kukojoa unashangaa mkojo unaambaa kwenye suruali
 
Aombe sana sheria ya mapadri kuoa iharakishwe uko Vatican atarudi madhabahuni.
 
Mufa maji huyo ... haendani na sera za mama soon hatarudi kanada kwenye super market...
Huyu mzee alikuwaga na akili nyingi sana ila toka hamekubali kununuliwa na jiwe kakosa mvuto kabisa ...hoja zimeshamuishiya. Mkumbusheni kwamba umri umeyoyoma
 
Namuona hapa TBC1 balozi mstaafu Dk slaa anapiga kamba eti kwa kanuni za kabisa canon law anaweza kurejea madhabahuni akawaongoza kandoo za bwana waende mbinguni

Eti wajuvi ni kweli huyu Mwanasiasa anaweza kurudi kanisani au ndio tunapigwa kamba

USSR
Akaungane na mshkaji wake Rashid Gwajima kutoa huduma
 
1638739115225.png
 
Back
Top Bottom