Dk. Slaa kavuliwa Ubalozi wake mwaka 2023 na Watanzania tutamvua Mtu Heshima yake Oktoba 2025

Anajitahidi sana kwa hayo uliyoyasema. LAKINI sijui kwanini hakubaliki huku nilipo, tena wanawake ndo hawataki kumsikia kabisa.
 
Kwa uliyoyaandika nakiri wazi kabisa kusema nchi hii bado ina safari ndefu sana.
Kuna mambo ukiwa na utulivu kabisa wa kufikiri ukayachambua bila kufuata mihemko ya udini, uchama, na yanayo fanana na hayo utagundua kitu.
All in all kila mtu anabaki kuwa na mitazamo yake na inabidi kuheshimu.
 
Achaujinga kipindi chamagufuli mbolea ilikua lakinaselasini kipindichasamia sitini nambili bado ajakuja mahindi kipindicha mshambakilikua kilomiasita samia elfumoja magu alipolakorosho kwawakulima samiaamewaluusu wakulimawauze mazaoyao magu alivamia madukayakubadilisha helazakigeni samia amewaludishia helazao
 
Nakubali ndiyo kwasababu tumeshayasaliti maendeleo na hatuyahitaji vile vile tangu zamani hizo tumekubali kuishi katika matabaka no way out..
Ndugu yangu hizi siasa za kiafrica ukihangaika nazo sana utakufa hujaacha urithi kwa wanao. Pambana utafute riziki kwa familia yako, Hayo mengine achana nayo maana huna uwezo wa kuyabadilisha hata ukiwa Rais
 
Sema home boy tafuta akili siku nyingine pesa piga chini usitafute.

Nionyeshe mafanikio ya kiuchumi ambayo mama Abdul kafanya yanayokufanya useme kampita Magufuli.
Kama wewe ni kipofu siwezi kukusaidia kuona. Rudi tena kasome nilichoandika
 
Anajitahidi sana kwa hayo uliyoyasema. LAKINI sijui kwanini hakubaliki huku nilipo, tena wanawake ndo hawataki kumsikia kabisa.
Kwanini wewe unahangaika na kukubalika kwa Rais Samia? Namna ambavyo hakubaliki basi ndiyo FURSA kwenu wapinzani wake kuchukua uongozi wa nchi.

Samia hakubaliki halafu nyinyi ndiyo mnaumia? Ridiculous
 
Kwanini wewe unahangaika na kukubalika kwa Rais Samia? Namna ambavyo hakubaliki basi ndiyo FURSA kwenu wapinzani wake kuchukua uongozi wa nchi.

Samia hakubaliki halafu nyinyi ndiyo mnaumia? Ridiculous
Ridiculous! Hoja hazihitaji hasira mkuu.
 
Mvueni tu hii ni vita ya pazi,kunguru nipo juu nawachora tu
 
Nimejaribu kusoma ili nielewe lakini nimeshindwa mkuu. Barikiwa sana.
 
Reactions: Ame
Ikiwezekana mungu amvue vyote hata kabla ya 2025. Mungu fanya kazi yako kwa wahuni wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…