Dk. Slaa kavuliwa Ubalozi wake mwaka 2023 na Watanzania tutamvua Mtu Heshima yake Oktoba 2025

Usipoteze muda na 2025 bali jipange na 2030. Mama Samia ni Rais bora kabisa kuliko mtangulizi wake japo ana madhaifu yake machache.

Performance yake kwenye uhuru wa mawazo, demokrasia ya vyama vingi na kufungua uchumi ni kubwa kuliko ya mtangulizi wake.

Aidha amejenga utulivu kwenye nchi, amani na kuondoa dhuluma ambazo Magufuli ndiyo alikuwa anatumia kama strategy ya uongozi. Magufuli alikuwa hafuati rule of law, alikuwa anaua wakosoaji na alikuwa anapora fedha za wafanyabiashara na matajiri benki.

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Mumchukie tu kwa vile ni mwanamke, mwislamu halafu Mzanzibari lakini siyo kiutendaji.
Anajitahidi sana kwa hayo uliyoyasema. LAKINI sijui kwanini hakubaliki huku nilipo, tena wanawake ndo hawataki kumsikia kabisa.
 
Kwa uliyoyaandika nakiri wazi kabisa kusema nchi hii bado ina safari ndefu sana.
Kuna mambo ukiwa na utulivu kabisa wa kufikiri ukayachambua bila kufuata mihemko ya udini, uchama, na yanayo fanana na hayo utagundua kitu.
All in all kila mtu anabaki kuwa na mitazamo yake na inabidi kuheshimu.
 
Mimi pia ni mkulima. Niambie, samia amewajali wakulima kwa mambo gani?. Ninachojua wakati wa Magufuli mbolea ilikuwa rahisi kupata. S.A Kg 50 iliuzwa Tsh 40,000 - 50elfu. CAN na UREA 60,000. Baada ya magu kufa mambo yalibadilika maana ruzuku iliondolewa na tukauziwa UREA na CAN Tsh 140,000. Aliporudisha ruzuku leo mbolea hizo ni Tsh 75,000 hadi 80elfu kwa kg 50.
Achaujinga kipindi chamagufuli mbolea ilikua lakinaselasini kipindichasamia sitini nambili bado ajakuja mahindi kipindicha mshambakilikua kilomiasita samia elfumoja magu alipolakorosho kwawakulima samiaamewaluusu wakulimawauze mazaoyao magu alivamia madukayakubadilisha helazakigeni samia amewaludishia helazao
 
Nakubali ndiyo kwasababu tumeshayasaliti maendeleo na hatuyahitaji vile vile tangu zamani hizo tumekubali kuishi katika matabaka no way out..
Ndugu yangu hizi siasa za kiafrica ukihangaika nazo sana utakufa hujaacha urithi kwa wanao. Pambana utafute riziki kwa familia yako, Hayo mengine achana nayo maana huna uwezo wa kuyabadilisha hata ukiwa Rais
 
Sema home boy tafuta akili siku nyingine pesa piga chini usitafute.

Nionyeshe mafanikio ya kiuchumi ambayo mama Abdul kafanya yanayokufanya useme kampita Magufuli.
Kama wewe ni kipofu siwezi kukusaidia kuona. Rudi tena kasome nilichoandika
 
Anajitahidi sana kwa hayo uliyoyasema. LAKINI sijui kwanini hakubaliki huku nilipo, tena wanawake ndo hawataki kumsikia kabisa.
Kwanini wewe unahangaika na kukubalika kwa Rais Samia? Namna ambavyo hakubaliki basi ndiyo FURSA kwenu wapinzani wake kuchukua uongozi wa nchi.

Samia hakubaliki halafu nyinyi ndiyo mnaumia? Ridiculous
 
Ridiculous! Hoja hazihitaji hasira mkuu.
 
Jidanganyeni tu na endelea Kudanganywa kuwa things are okay on the ground wakati akina GENTAMYCINE ambao Kutwa tupo na tunajichanganya na Wananchi tunaona hali ni tofauti na kama mwaka 2025 PT, TISS, JWTZ na NEC wakisema wakae Kando na waachie Haki itendeke nina uhakika kuna Mtu mapema sana ataenda Paje Kizimkazi kuyaanza Maisha yake mapya akiwa na Wajukuu zake.
Mvueni tu hii ni vita ya pazi,kunguru nipo juu nawachora tu
 
Achaujinga kipindi chamagufuli mbolea ilikua lakinaselasini kipindichasamia sitini nambili bado ajakuja mahindi kipindicha mshambakilikua kilomiasita samia elfumoja magu alipolakorosho kwawakulima samiaamewaluusu wakulimawauze mazaoyao magu alivamia madukayakubadilisha helazakigeni samia amewaludishia helazao
Nimejaribu kusoma ili nielewe lakini nimeshindwa mkuu. Barikiwa sana.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Ikiwezekana mungu amvue vyote hata kabla ya 2025. Mungu fanya kazi yako kwa wahuni wote

Back
Top Bottom