Waliosema tumeingia uchumi wa Kati world Bank , sio kwa Kauli yako au mtu MwingineWatu waovu hawajifichi
JK mtu muungwana kabisa
Jk amesema kwenye mpangilio
1. Kuingia uchumi wa kati by 2025
2. Pia katika safari, by 2025 basi walau kipato kifikie usd 3500
Huu ni mpango wa kimaendeleo Tanzania...(DIRA) By 2025.
Sasa huyu anayeleta world bank ametokea wapi? Iwapo JK aliongelea dira yetu watanzania?
Ndiyo maana nime-quote..Nadhani wewe ndo hujaelewa nilichoandika soma upya tena!
Uwe unaelewa bwashee...... Hiyo $ 3500 umeitoa wapi?Watu waovu hawajifichi
JK mtu muungwana kabisa
Jk amesema kwenye mpangilio
1. Kuingia uchumi wa kati by 2025
2. Pia katika safari, by 2025 basi walau kipato kifikie usd 3500
Huu ni mpango wa kimaendeleo Tanzania...(DIRA) By 2025.
Sasa huyu anayeleta world bank ametokea wapi? Iwapo JK aliongelea dira yetu watanzania?
Wameshajua 2025 uwezekano wa kufikia hio $3,000 haupo na hautakuwepo imebidi waanze kupiga propaganda mapema sana.Kuna mtu kakurupuka vibaya
JK alisema mzee mkapa alikuwa na matamanio ya kufikia uchumi wa kati kwa per capita kuwa USD 3000 hata kama tunajua kwamba uchumi wa kati ungetuhitaji kuwa na per capital around 1080.
Yaani ni sawa sawa na mtu uwe na matamanio ya kufaulu chuo na First Class badala ya ule ufaulu wa kawaida wa wengi wa Lower second.
Itakuwa maneno ya Kikwete yamewachoma sana
Lkn si kayasema hadharani? WaacheItakuwa maneno ya Kikwete yamewachoma sana
Tuache kwanza mkuuSiku hizi ile methali inayosema muungwana akivuliwa nguo huchutama imebadilika.
Sasa muungwana akivuliwa nguo hukimbia kutafuta nguo nyingine, maana anaweza kuchutama muda mrefu bila msaada.
Unaelewa maana ya utaalamu?Yeye ametoa ufafanuzi wa kitaalamu!
Ameongea kama serikali na kama mtaalamu wa uchumi!sasa yeye kama nani anabishana na JK? walioasisi hiyo vission 2025 (JK na BWM) wao waliweka target ya usd 3000 mpaka nchi itakapofikia middle economy. Abbas acha kujidharirisha.
JK alieleweka sana! JK alisema lengo lao lilikua by 2025 tuwe kwenye uchumi wa kati ambapo tufikie pato la $3000Ndiyo maana nime-quote..
Alimaanisha GNI ya sasa inatuweka kwenye uchumi wa kati according to World Bank. Na tumefikia hatua hiyo kabla ya 2025.
Ha ha haa, wee jamaa umeamua kuweka rekodi sawa, maana naona wanaanza kusingizia mitandaoSio zinasambazwa kwenye mitandao zimesemwa na JK nas sis tumemsikia vizur kabsa
Kuna mtu kakurupuka vibaya
JK alisema mzee mkapa alikuwa na matamanio ya kufikia uchumi wa kati kwa per capita kuwa USD 3000 hata kama tunajua kwamba uchumi wa kati ungetuhitaji kuwa na per capital around 1080.
Yaani ni sawa sawa na mtu uwe na matamanio ya kufaulu chuo na First Class badala ya ule ufaulu wa kawaida wa wengi wa Lower second.
Itakuwa maneno ya Kikwete yamewachoma sana
Yeye ni msemaji kwahiyo hata kama siyo mchumi basi amezungukwa na wachumi!Unaelewa maana ya utaalamu?
Unapoongelea utaalamu kwenye uchumi basi angetakiwa mtu mwenye elimu ya uchumi!
Je huyo msemaji ni mwana uchumi?
Kama sio kwanini unasema "ametoa ufafanuzi wa kitaalamu"?
Waliosema tumeingia uchumi wa Kati world Bank , sio kwa Kauli yako au mtu Mwingine
Mkuu huo uchumi kasomea Lumumba au?Ameongea kama serikali na kama mtaalamu wa uchumi!
Ndo walewale mnaopotosha rank za WB middle income inaanzia USD 1062-12065 lkn lengo la dira ya maendeleo 2025 ni kuwa na kipato cha USD 3000 na hata Jana mchumi kikwete kalielezea vizuri kabisa.Ndiyo maana nime-quote..
Alimaanisha GNI ya sasa inatuweka kwenye uchumi wa kati according to World Bank. Na tumefikia hatua hiyo kabla ya 2025.
Unaelewa maana ya hii sentensi uliyo andika?Yeye ni msemaji kwahiyo hata kama siyo mchumi basi amezungukwa na wachumi!
Hukuwa na ulazima wa kuweka hiyo sentesi ya mwisho!Mpango ulipangwa na world bank?
Kama taifa huru tulitengeneza road map
By 2025...... kufikia, maana yake tunaweza kuwahi kabla kama tulivowahi ila tusizidi
Katika mpango pia tukajiwekea malengo kwamba kwa kipato chetu kiwe usd 3000
Tulipanga sisi kama watanzania sio world bank.
World bank ilichofanya nikutuambia tumeshafikia uchumi wakati lakini rod map tumejipangia
Tuache upumbavu
Sisi hatujayasema hayo bali yamesemwa na JK. Labda angesema propaganda zilizosemwa na JKHivyo amewataka watanzania kuachana na propaganda zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii.
Kwani utaalamu wa uchumi ni nini?Unaelewa maana ya hii sentensi uliyo andika?
"Ameongea kama serikali na kama mtaalamu wa uchumi!"
Je inahusiana vipi na ulichoandika hapa kwamba kazungukwa wanauchumi?
Kwa hiyo magufuli tumuite injinia kisa kazungukwa na mainjinia?