GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #61
Hivi si ndiyo Wewe Jana ulisema HUNIPENDI sasa inakuwaje kila nikiletacho hapa JF ni lazima ukisome? Nikuelewe vipi? Kwanini 'Usinibloku' tu ili uendelee Kuwasoma unaowaita 'Werevu' Wenzako?umeamka na pombe kichwani punguza ulevi
Mkuu YEHODAYA hapa hakuna grammatical errors isipokuwa kuna unnecessarily wording. Huyu mwalimu wa Kenya alikuwa anairekebisha hiyo statement ya royal family kwa kutumia maneno machache ambayo bado yangeweza kueleweka badala ya maneno mengi. Of course kuwa muingereza au mmarekani haimaanishi ndio utajua kila neno la kiingereza, the same thing hata kwetu sisi watanzania, kuwa mtanzania haiimaanishi utajua kila neno la kiswahili, lakini hii haimaanishi kwamba muingereza kiingereza kinamshinda au ni kibovu au kiswahili cha mtanzania ni kibovu au kinatushinda.KIINGEREZA hata waingereza wenyewe kinawasumbua mfano ona mwalimu wa kenya alivyosahihisha kiingereza kibovu kilichotolewa na familia ya malkia wa uingereza
A teacher based in Kenyaβs capital Nairobi, Mwalimu Joshua Njenga has detected some grammatical errors in the statement issued by the Buckingham Palace on Teusday, March 9 with regard to Prince Harry and Meghan Merkleβs interview with Oprah.
In a viral post on Facebook, Njenga highlighted what he believed were βerrorsβ contained in the statement, introducing the wordings he thought would be appropriate instead.
Njenga said he had a debate with his students who noted the statement was grammatically faulty right from the header to the closing sentence, pointing out the unnecessary wordings that had been carried therein.
Dear Buckingham Palace, In my morning class, we discussed the difference between active and passive writing, and we used your statement for practice. I asked my students to rewrite it using active language. Here is what they did.β he said in a caption before sharing the βcorrected statementβ
View attachment 1768448
Ngoja nivae uso wa mbuzi mkuuππ Mkuu ukitaka kujua kingereza usiogope watu watakukosoa vipi, just try the best you can, then ukikosolewa ndio utajua jinsi ya kujirekebisha.
Humpendi Mleta Mada ( GENTAMYCINE ) kwanini unapenda 'Kushoboka' kusoma 'Threads' zake na 24/7 unamfuatilia kila anachokiandika ( anachokichangia ) hapa JamiiForums? Wenye Akiki Kubwa ( Einsteins ) tukuelewe / wakuelewe vipi?usichoelewa hapo nini sasa? mbona poa tu kuwa kuna mtu anawekwa ndani
Ni kweli arrongance,ushamba na ponposity vinamsumbua sanaAbass anaonekana mshamba bado..
Arrogance..na entitlement vinamsumbua
Hata kuandika tu hujui AKIKI kubwa ndio nini? hata hueleweki haya edit ulichoandika.Kuandika tu kiswahili kunakushinda .Umejifunzia kiswahili ukubwani? rekebisha hiyo AKIKI yakoWenye Akiki Kubwa ( Einsteins ) tukuelewe / wakuelewe vipi?
Hana Akili huyo Mkuu asikusumbue pia.Unamwamini mkenya kuliko waandishi wa Malkia? Hili tamko lilitolewa kuonyesha kuwa wao pia ni familia kama familia nyingine na wanawapenda ndugu zao, ndio maana wakajiepusha matumizi ya neni royal na kutumia lugha inayo onyesha warmth na sio ubaridi wa formal language.
Amandla...
Hushtuki kutuonyesha Upopoma wako?Lugha ni chombo cha mawasi;iano tu kitu muhuimu ni kueleweka unamanisha nini angeweza hata sema many reform are in my all offices
Kipanga huwa anamuelewa Juha Mkuu?Kama ulimuelewa inatosha.
πππ watu wengine sijui vp, unanidharau mimi ndio niliosema, A lot of reforms is going on now in our ministry???.Hebu acha Kutetea Upopoma ( Upumbavu ) tafadhali sawa? Mtu wa Hadhi yake na anajulikana kwa Kujisifia kuwa Kasoma sana na Mwerevu mno kamwe hawezi Kuzungumza Kiingereza 'Broken' kama hicho. Usinilazimishe nianze Kutupuuza ( Kukudharau ) na Wewe hapa s
Ulichokiona Kwangu ni hiko tu hasa au?Hata kuandika tu hujui AKIKI kubwa ndio nini? hata hueleweki haya edit ulichoandika.Kuandika tu kiswahili kunakushinda .Umejifunzia kiswahili ukubwani? rekebisha hiyo AKIKI yako
Kuna unachokitafuta Kwangu endelea...πππ watu wengine sijui vp, unanidharau mimi ndio niliosema, A lot of reforms is going on now in our ministry???.
Anyway, bado asubui saiz labda umeamka vibaya.
Vaa nduguyangu twende mbele, English is one of the simplest languages usimsikilize huyu Gentamycine.Ngoja nivae uso wa mbuzi mkuu
Anamdharau mno President na Premier.Ni kweli arrongance,ushamba na ponposity vinamsumbua sana
Mikwara mbuzi hii.Kuna unachokitafuta Kwangu endelea...
Huyu mkenya yuko vizuri hukosoa statement nyingi za viongozi zikiwa na kiingerezza kibovuUnamwamini mkenya kuliko waandishi wa Malkia? Hili tamko lilitolewa kuonyesha kuwa wao pia ni familia kama familia nyingine na wanawapenda ndugu zao, ndio maana wakajiepusha matumizi ya neno royal na kutumia lugha inayo onyesha warmth na sio ubaridi wa formal language.
Amandla...