Dkt. Abbas na Watendaji wengine mlioko Serikalini kama hatuna uhakika na Viingereza vyetu vya 'Ukubwani' na 'Uchochoroni' tutumie tu Kiswahili chetu

Kingereza ni lazima mkuu kwa kuwa hatuishi kwenye dunia ya peke yetu.Umepata study tour ya kwenda Uingereza kwa mfano,unafanyaje?Jamani Watanzania tukoje,mbona tunakuwa short sighted sana.Na kwa nini wengine waweze,wengine wasiweze.Afrer all Kingereza ni lugha tu, ambayo mtu anaweza kujifunza akiwa determined, there is nothing impossible.
 
Don't judge them because real life English is different from the English we learn in schools.Huwezi ukawa sawa na "native language speakers"kwenye "foreign language"💪🇹🇿👍
 
No 3 imekaa vizuri zaidi. No 4 Ingekuwa sahihi kama kungekuwa na a kwenye lots... Sahihi zaidi Ingekuwa alot..
 
Hivi PhD ndo alisomea pale Malimbe?
 
Miner grammatical errors are allowed when we speak than when we write. Kweli cha muhimu kaeleweka.
Looh!! Mkuu kwa vile ni kuongea ukaona "miner" haina ukakasi badala ya "minor" kwa sababu tu unatamka sawa?!!
 
Zote sawa tu, ilimradi ameeleweka.

Huu ulioweka hapa ni ujinga. Kuna formula moja ujue, kama kuna vitu viwili au vitatu na vinaonekana kuwa tofauti kuna mawili i) vyote vinaweza kuwa sio sahihi au ii) kimoja tu ndio kinaweza kuwa sahihi.

Kueleweka au kutoeleweka ni kitu kinachoweka kutokea hata kwa kutumia lugha kwa usahihi. Kueleweka sio jambo lililo katika control ya msemaji!! Umeleta mada nyingine kabisa.
 
Nyani Ngabu
 
Wapishe Intellectuals hapa JF waujadili huu Uzi tafadhali na acha Kunipotezea muda. Na sijifanyi tu najua bali ninajua kweli kweli Mpuuzi Mmoja Wewe.
Huyu jamaa huwa yuko kisiasa kwa kila jambo. Hapo anaona unamkosoa Dr. Abbas ambaye ni mtu wa serikali ya CCM na kumbuka aliibuliwa kwa mara ya kwanza na "Shujaa wa Afrika" kuwa msemaji mkuu wa serikali, kabla ya sasa kuwa Katibu mkuu wa Wizara ya Habari.

Hawa wafuasi wa "Shujaa" kama ambavyo hawakutaka shujaa wao akosolewe au wasivyotaka akosolewe hata sasa, ndivyo wasivyopenda "wateule wake" wakosolewe, hasa wale ambao bado wanabeba mabango ya kumtukuza mwendazake, kama alivyo huyu Dr. Abbas.
 
Pole Dkt. Abbas, ila haukijui Kiingereza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…