Dkt. Abbas na Watendaji wengine mlioko Serikalini kama hatuna uhakika na Viingereza vyetu vya 'Ukubwani' na 'Uchochoroni' tutumie tu Kiswahili chetu

Kila Utetezi wako unaonyesha tu Kwetu how Moronic you're mbele yetu na nakushauri acha Kuchangia hapa ili upunguze Watu kuendelea Kukudharau kama pia siyo Kukupuuza pia sawa?

Cc: Waberoya
 
Unatetea tu Upopoma ( Ujuha ) huu au?
 
PhD ya magu inabidi ichunguzwe.
 
Licha ya kuwa SIMPENDI HUYO ABAS, LAKINI

NADHANI WATANZANIA, HASA MLIOKO UKO HOME TZ MNA COMPLICATE SANA KUHUSU ENGLISH.

MIMI NINAVYOJUA HAKUNA MTU DUNIANI ANAYEWEZA KUONGEA LUGHA IWE YA KUZALIWA AMA KUJIFUNZA KWA USAHIHI 24/7 BILA KUKOSEA.

JUST CHILL OUT SOMETIMES.....
 
Sentensi namba 1 ina walakini kushindwa kushindwa kutofautisha wingi (plural) na umoja (singular) zingine kuanzia 2-4 zina afadhali ijapokuwa sio katika unyoofu wa kiingereza halisi (native English)

1. A lot of reforms is going on now in our Ministry

2 There has been a lot of reforms going on in our Ministry

3. A lot of reforms are going on now in our Ministry

4. There are lots of reforms going on now in the Ministry
 
Huyu jamaa ana kiingereza kizuri Ila tu ameteleza kidogo, hata mwingereza nae huteleza .
 
Acha Unafiki wako hapa sawa? Yeye ( huyu Dkt. Abbas wako ) ni nani akikosea Jambo tena Muhimu kama hili la Kimawasiliano ( Uwasilishaji ) basi tumuogope na 'tusimchane' ili ajirekebishe na pengine hata Wengine nao wasikirejee hicho hicho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…