Dkt. Abbas na Watendaji wengine mlioko Serikalini kama hatuna uhakika na Viingereza vyetu vya 'Ukubwani' na 'Uchochoroni' tutumie tu Kiswahili chetu

Swadakta!
 
Hebu edit kwanza hapo ulipo andika "kinachoweka kutokea" alafu urudi tena hapa.
Ila kama ulikuwa na maana ya "kinachoweza kutokea" basi nisawa ilimradi umeeleweka.
 
Virtually, sentences 2,3, and 4 are correct.
But if it was not in the official hours, when this sentence was spoken,
Only sentences 2 and 4 are equally correct.

Let's review English grammar before giving our views.
 
Kichwani mwako una uhakika zimeenea?
 
Forth sentence is okay.
 
Namba tatu ndio sahihi grammatically.
Ukishasema " a lot" unamaanisha nyingi so yeye kwenye sentensi yake amepungukiwa alipotumia is badala ya are.
 
Dharau nyingi kumbe Kiingereza tatizo.
Mtu wako huyo. Kuna wakati mwendazake alifagilia UD. Ukaona kawivu. Ukaifagilia SAU. Katika mazao bora ya chuo hicho kikuu ukamtaja Abbas! Imekuwaje leo? Kwa mwendazake na ...chako kuna utetezi wa hovyo kuwa hao ni wa sayansi. Je, huyu naye? Hamchelewi kusema kasomea sayansi ya mawasiliano/sheria!
 
(Educational or managerial) Reforms are going on in our Ministry .the question is which reforms it should be like this: Educational Reforms are going on in our Ministry
 
Pole Dkt. Abbas, ila haukijui Kiingereza.
🀣🀣🀣🀣 mkubwa nakijua kiingereza ila ndugu zangu, wajomba na baba zangu, wadogo, mashangazi zangu hawakijui...tena wengine kabisa

Kubali kuwa haukutegemea kuwa challenged kuanzisha hii topic, najua inauma. Kunywa tu vidonge vichingu

hayo ya kumtaja waberoya kila post, haikusaidiii, kubali ulichemka tu na unajikaza sana

kumbe uko hivi??🀣🀣🀣
 
Hongera kwa upeo wako mkubwa, Ila ungeongeza elimu ungeongeza upeo wako zaidi . Lakini mtu mwenye upeo anajibu kwa kukashifu kweli? Mwenye upeo + elimu wanakashifu kwa kutumia "logic" . Piga kitabu Basi!!
 
Acha Unafiki wako hapa sawa? Yeye ( huyu Dkt. Abbas wako ) ni nani akikosea Jambo tena Muhimu kama hili la Kimawasiliano ( Uwasilishaji ) basi tumuogope na 'tusimchane' ili ajirekebishe na pengine hata Wengine nao wasikirejee hicho hicho?

Then ukajua mimi tu nawaza hivyo??

Niko Canada ndugu!!! sijui unaishi wapi??
 
KAMA KIINGEREZA hukijui, UNAKOSOA NINI?? unaweza kukosoa USICHOKIJUA???πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
Shame on you! πŸ€¨πŸ€¨πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
a lot of reform(s) "is" tatizo limeanzia hapo
 
Acha Unafiki wako hapa sawa? Yeye ( huyu Dkt. Abbas wako ) ni nani akikosea Jambo tena Muhimu kama hili la Kimawasiliano ( Uwasilishaji ) basi tumuogope na 'tusimchane' ili ajirekebishe na pengine hata Wengine nao wasikirejee hicho hicho?
Hapa hakuna unafiki wala nini ndugu. Nakueleza ukweli kabisa. Labda nikuulize kuhusu movies za Hollywood: Hujawahi kuona kuwa wanaandika kwenye subtitles pia wanaongea "She + don't" ama "He + don't" na makosa mengine mengi. Haya ni makosa ya wazi ya lugha na wanajua lakini kwa sababu ina sound vizuri zaidi basi wanaacha kama ilivyo...

Lakini pia umewahi kuishi na wa Nigeria? Mimi niko nao kila siku kitaa..na umefuatilia wanavyoongea na lafudhi yao, Tatizo wabongo mnadhani kuongea English unatakiwa kuachana na accent yako ya kuzaliwa....

La msingi ueleweke wakati wa kuzungumza, ndilo lengo la lugha, labda kwenye kuandika ndipo unatakiwa kuwa makini. Kwenye kuongea ukijifanya kuwa sahihi kwa 100% hutofika...

Hii kama nilivyosema ni kwenye lugha zote. La msingi ujumbe ufike...
 
There are ongoing rule changes in the ministry
There are ongoing reforms in the ministry
Reforms will continue in the ministry
etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…