Dkt. Agnes Kijazi astaafu Ukurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA)

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1669458269167.png

Unapoitaja Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini TMA jina linalokujia kwa haraka ni DK Ages Kijazi Mtaalam wa tasnia ya utabiri wa Hali ya Hewa kwa miongo kadhaa sasa.

Licha ya ubobevu wake wa masuala ya Hali ya Hewa, DK Kijazi ambaye pia ni Makamu wa tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO), Dkt. Agnes Kijazi mbali ya kuifanya TMA kuwa chombo kinachoaminika sasa kwa kutoa utabiri wenye usahihi kwa asilimia 97.3 umri wa utumishi Serikali umemtupa mkono.

Ili kuendelea kutoa mchango wake DK Kijazi sasa anakwenda kujiunga na WMO kama Mkurugenzi anayesimamia taasisi za hali ya hewa kwa upande wa Bara la Afrika.

TMA imetoa taarifa za DK Kijazi Kustaafu kama Mkurugenzi Mkuu, CMG na Wadau wa Hali ya Hewa ikiwemo wakulima, wavuvi na sekta ya usafiri watamkumbuka kutokana na mchango mkubwa aliotoa kwa jamii ya Watanzania na dunia kwa ujumla.
 
View attachment 2427898

Mhandisi John William Kijazi , DK Ages Kijazi na Dkt. Allan Kijazi hawa ni ndugu au ni majina yanasomeka hivyo?
 
Kuna mwingine n somebody kijazi n senior officer utumishi nadhani bado n mtumishi huyo mother
Yule Mama amefariki mwezi Mei 2022 na alikuwa mgogo wa Mowapwa. Jina lake litokana kutoka na mume wake ambaye alikuwa Mbondei wa Muheza. Akina Kijazi wa flyover na yule wa Utalii ni wa Korogwe
 
Aisee pole zake kwakweli sikujua kabisa alikuwa jirani yangu sana pale bunju sema ndo hvyo aisee dah pole zake nyingi Sana nn ilimchukua mkuu
 
Back
Top Bottom