Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Naunga mkono hoja ya Daktari Ayub Rioba kumhusu Rais Samia kuwa msikivu na mdemokrasia. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Rais Samia ni msikivu, apewe maua yake. Vipi Serikali yake, Bunge na mahakama ni wasikivu? Kama sio inamanishaDkt. Ayub Rioba Chacha aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Shirika La Utangazaji Tanzania (TBC) anasema kwa namna ambavyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa namna ambavyo anapenda kusikiliza Mawazo na maoni ya watu wengine inadhihirisha wazi kiwango chake cha Demokrasia
PWanabodi,
Moja ya mambo makubwa ambayo Rais Samia anesifiwa na kupongezwa sio tuu na Watanzania, bali anapongezwa na dunia, ni kitendo cha Rais Samia kukuza demokrasia, kwa maridhiano ya kisiasa na kuruhusu mikutano ya hadhara.
Paskali
Misingi ya demokrasia inatajwa kuimarika, lakini mbona bado kuna malalamiko kuhusu sheria za uchaguzi na sheria za habari?Naunga mkono hoja ya Daktari Ayub Rioba kumhusu Rais Samia kuwa msikivu na mdemokrasia.
P
Daaaaaah, inasikitisha sana.Naunga mkono hoja ya Daktari Ayub Rioba kumhusu Rais Samia kuwa msikivu na mdemokrasia. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Rais Samia ni msikivu, apewe maua yake. Vipi Serikali yake, Bunge na mahakama ni wasikivu? Kama sio inamanisha
Pia Bunge la JMT lilimpongeza Rais Samia kwa kukuza demokrasia Azimio la Bunge kumpongeza Rais Samia kwa Diplomasia ya Uchumi na Demokrasia, Kuna Waziri Ameharibu Kutaja Masherti ya MCC! humo nilisema
P
Huyu ametolewa TBC, na sasa anavizia apewe uenyekiti wa Bodi fulani ili aendelee kula mema ya nchi. Siyo kwa uchawa huu kwa mtu mwenye PhD ya uchumia tumbo.
Luca......mbona sijaona wivu hapo..Acha wivu Dogo.
Anavizia teuzi nyingine tu. Pascal Mayalla usikubali jamaa alambe teuzi tena kabla yako.Dkt. Ayub Rioba Chacha aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Shirika La Utangazaji Tanzania (TBC) anasema kwa namna ambavyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa namna ambavyo anapenda kusikiliza Mawazo na maoni ya watu wengine inadhihirisha wazi kiwango chake cha Demokrasia