Mnyanyembe wa Mboka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2017
- 2,348
- 3,038
Swadakta hata mimi sito piga kura ni upotezaji wa mudaChama cha CCM kupitia katibu mkuu wake kimesema kitatumia dola kubaki madarakani hivyo kura yangu si haki yangu. Mimi kushiriki kupiga kura yangu haitakuwa usaliti wa kushindana na dola? Wajuzi wa JF of GT nielimisheni.
Dk katusaidia kuokoa mda wakushinda foleni,na kama inawezekana na uchaguzi wangeufuta,hela ya uchaguzi wafanyie Mambo mengine kuliko kuzitumia kwenye uchaguzi,Dk amenifulahisha sana kawa muwazi,Sasa kazi imebakia kwa vyama vya siasa waamue kuacha au waingie hivo hivo kwenye uchaguzi.mimi hata kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura sitoenda,kitambulisho cha nida kitanitosha
Kulingana na ile Kauli upo Sawa kabisaChama cha CCM kupitia katibu mkuu wake kimesema kitatumia dola kubaki madarakani hivyo kura yangu si haki yangu. Mimi kushiriki kupiga kura yangu haitakuwa usaliti wa kushindana na dola? Wajuzi wa JF of GT nielimisheni.
Tangu lini dola ikawa raia mpuuzi weweSikiliza wewe Mwenyewe maelezo ya Bashir
Bashir kafafanua kuwa Dola ni Raia na Ccm itatumia Dola kubaki madarakan
Ukitumia Dola kuimarisha amani na Usalama watu wakiridhika na kukupa idhin maana yake umetumia dola
Sent using Jamii Forums mobile app
Chama cha CCM kupitia katibu mkuu wake kimesema kitatumia dola kubaki madarakani hivyo kura yangu si haki yangu. Mimi kushiriki kupiga kura yangu haitakuwa usaliti wa kushindana na dola? Wajuzi wa JF of GT nielimisheni.
Kwa kupiga kura kuchagua yeyote zaidi ya CCM ni kushindana na dola, na kwamwe huwezi kuishinda dola bila ncha ya upanga, hivyo kupiga kura kutegemea utaishinda dola ni kupoteza muda wakoChama cha CCM kupitia katibu mkuu wake kimesema kitatumia dola kubaki madarakani hivyo kura yangu si haki yangu. Mimi kushiriki kupiga kura yangu haitakuwa usaliti wa kushindana na dola? Wajuzi wa JF of GT nielimisheni.
Vyombo vya dola ni vipi?Sikiliza wewe Mwenyewe maelezo ya Bashir
Bashir kafafanua kuwa Dola ni Raia na Ccm itatumia Dola kubaki madarakan
Ukitumia Dola kuimarisha amani na Usalama watu wakiridhika na kukupa idhin maana yake umetumia dola
Sent using Jamii Forums mobile app
Dola ina raia, ila dola si raia. Raia tungekuwa ndio tumeshika dola sisi kama sisi si tungepindua serikali, walioshika dola ni serikali na sio raia
Dola ina raia, ila dola si raia. Raia tungekuwa ndio tumeshika dola sisi kama sisi si tungepindua serikali, walioshika dola ni serikali na sio raia
Hawana wanachokiogopa, wao ndiokila kitu watafanya wapendacho, watakufanyia wapendacho, wataongea watakavyo wao, Bunge la kwao, mahakama zakwao, majeshi ya kwao.Awamu hii tuna viongozi wa hovyo sana