Yupo sahihi,wapinzani waliposusa walisababisha haya yanayotokea sasa. Acha tupambane na hali zetu.
macson
Mawazo yako sio ya woteHahaha bora niungane na wewe na mimi bora nikakizamishe kwenye mavi tu, maana hakuna namna tena.
''Mchakato wa katiba mpya ni kiporo kilichochacha, ukila utaumwa matumbo''-Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu @ccm_tanzania
#BashiruAllyIPPMedia
Yaani pamoja na maelezo aliyoleta undetaker huyu ole mushi kashindwa kumuelewa bashiru?
Mkuu alichosema ni ukweli mtupu.. Na wanaCCM wote wanajua hivyo na pia wapinzani wanajua hilo. Na huo ndio uhalisia sema yeye naona amekuwa na ujasiri wa kulitamka hilo hadharani. Angekuwa muongo na mnafiki iwapo angesema tofauti. Na hii ni lugha tu ileile ya "bao la mkono" ila imetamkwa kwa maneno tofauti.Katibu mkuu mwenye akili ya kipumbavu. Sijui elimu yake imemkomboa wapi!
Siyo kwa nchi hii nduguDr. Bashiru aende akamuulize Marehemu Robert Mugabe, kuhusu wananchi wakimchoka mtawala hali huwa inakua vipi.
CCM wanajidanganya sana, halafu huwa wanajisahaulisha kwamba ipo siku raia wataamua la kuamua.
Sijui nini kimewapata madokta wa vyuo vikuu...sielewe udokta mana yake nini?naomba mnijibu hapa!sisemi muache kusoma sana hapana...nipeni majibu hapa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kwa nchi hii ndugu
CCM ya Tanzania ni wajanja, wanabadilisha kiongozi kila baada ya miaka 5 ili kuepusha kuchokwa, tofauti na Zimbabwe ambapo mtawala mmoja alitawala kwa mda mrefu ktk chama kile kile.Dr. Bashiru aende akamuulize Marehemu Robert Mugabe, kuhusu wananchi wakimchoka mtawala hali huwa inakua vipi.
CCM wanajidanganya sana, halafu huwa wanajisahaulisha kwamba ipo siku raia wataamua la kuamua.
Tunapotezeana mda wa kupanga foleni kwa ajili ya kupiga kura wakati kuna chama kimejidhatiti bara bara kushinda uchaguzi kwa kutumia dola.HOTUBA KWA UFUPI
aliye na dola ananufaika na dola hiyo kubaki madarakani, huo ni ukweli hata CHADEMA ikiingia kwenye dola kuiondoa kwenye dola utakuwa ni uzembe.
Ukidhulumu mtu nikajua natafuta dola ishughulikie mtu aliyedhulumu ili nibaki madarakani, na kwakweli zamu hii ninahakika ya kushinda uchaguzi kwa sababu nitatumia dola barabara.
Kumbe Bashiru ni mpumbavu kiasi hiki?"Wanaosubiri sisi tulegelege kwenye kutumia dola kubaki kwenye dola watasubiri sana, hata Trump kumuondoa ngumu, kuna nafuu kubwa na faida kubwa chama kilichopo madarakani kutumia nguvu za dola kufanya mambo ya kujenga imani kwa wapiga kura ili kiweze kubaki madarakani"- Bashiru
"Aliye na dola ndiye ananufaika na dola ile kubaki madarakani, huo ni ukweli na hata CHADEMA ikiingia madarakana ikaondolewa kwenye dola ni uzembe wake. Kwasababu ana nafuu na faida ya kuendelea kubakia" - Dkt. Bashiru Ally, Katibu Mkuu