Yupo sahihi,wapinzani waliposusa walisababisha haya yanayotokea sasa. Acha tupambane na hali zetu.
macson
Aina ya akili zinazokwamisha nchi ni kama hizi. Nikuulize swali moja tu hapa. Waliobaki walifanya nini kuhusu mchakato?? Hukumbuki hao ndio waliopitisha rasimu mpya?? Je unasahau Rais akisema katiba mpya haikuwa ajenga ya ccm ya uchaguzi wa 2015?
Kama upinzani hauwezi hata kufanya bajeti ya nchi isipitishwe, unadhani kweli una uwezo wa kurejesha mchakato wa katiba??
It is all about the survival of the strongest/fittest, dont put blame on the weak!!