Bila fair ground (tume huru ya uchaguzi). Kupiga kura ni kupoteza muda.Clearly kuna harakati za waz za ccm kuwakatisha wananchi tamaa ili namba ya wapigakura ipungue ili wajichukulie ushindi kwa kutumia dola kwahiyo ni wajibu wa wananch wakipiga kura wakumbuke kuzilinda bila hivyo wajilaum wenyewe
Kwani nani hajui kwamba dola hutumika kuongoza nchi? Hilo si liko wazi? Unachofanya wewe ni kusema baba yule anatumia kisu kuitunza familia yake kwa kwenda kuwinda na kuwaletea kitoweo, wakati kisu hicho anakitumia kuwakatili mke na watoto wake, halafu yeye mwenyewe akiri kukitumia hicho kisu kutesa familia yake.., halafu wewe uje kubisha kwamba hakusema hivyo, bali alimaanisha kutesa familia ya swala ili kuwapa familia yake kitoweo...,Kuna mjadala mkali kwa sasa mitandaoni, mitaani na viringeni juu ya kauli ya Dkt Bashiru Katibu mkuu wa CCM, Kwa ufupi ni kuwa Dkt. Bashiru alikuwa sahihi kabisa alipo jenga hoja ya kuendelea kutumia dola kubaki madarakani. Baadhi yetu tumeipokea kauli hii katika mrengo hasi na wa kiushabiki zaidi kutokana na tofauti zetu za kiitikadi. Sharti ieleweke kuwa lengo kuu la chama chochote cha kisiasa ni kushika dola, dola (state), ni dhana pana na hili ushike dola lazima upate ridhaa ya wananchi yaani umma wa Watanzania kupitia mifumo rasmi ya kidemokrasia.
Kama dola iliyopo madarakani ni sauti ya wananchi basi dola hiyo hiyo utumia mifumo ya kidola kujitawala na kuwatumikia wananchi ili iendelee kuaminika na kujichimbia madarakani. Dkt. Bashiru hajatishia kutumia vyombo vya dola kuendelea kubaki madarakani, ingetumika kauli ya namna hiyo kwa vyovyote vile yangekuwa ni makosa makubwa
kisiasa hasa kwenye siasa za mfumo wa vyama vingi, Kwa ufupi Dkt. Bashiru yupo sahihi kabisa kwa kauli yake.
Mtu yoyote akikosoa chadema amenunuliwa?
Dk Slaa aliwakosoa chadema akawahoji hao mnaopokea ni asset au liability? Akaambiwa ni Dk mihogo amenunuliwa na ccm lakini leo Mbowe na wazee wa chadema wanajuta hadharani kupokea pokea wanachama hovyo. Chadema badala ya kujibu hoja za Mbatia wanajificha kwenye kichaka cha amenunuliwa na CCM!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana kumtoa Mbowe kwenye uwenyekiti ni kazi mno, ukijaribu tu unaambiwa sumu haijaribiwi kwa kuonjwa.
Mnamlisha maneno Bashiru.
Alichomaanisha kukisema in short ni hivi.
Unapokuwa umeshika dola una nafasi kubwa ya kupata ushwishi kwa kutumia dola kuwatumikia wananchi.
Mfano:
Ujenzi wa huduma za miundombinu.(hiyo ni kazi ya dola).
Utoaji wa elimu bure msingi hadi sekondari(hii ni kazi ya dola).
Ujenzi wa miradi mikubwa ya umeme kama stiegles gorge(hiyo ni kazi ya dola).
Usambazaji wa umeme vijijini kote nchini REA (hii ni kazi ya Dola).
SGR project nayo ni kazi ya dola,
Yaliyofanyawa na dola katika awamu ya tano ni meengi sana wala humu hayatoshi bali ni kazi ya washika dola kwa kutumia platform ya kampeni ili kuwasilisha taarifa za yale yaliyofanywa na dola na kisha kusubiri uamuzi kwenye debe la kura.
Kwa hiyo unapokwenda kwa wapiga kura wewe unakuwa na unafuu kama dola kwa kuwaeleza yale mema mshika dola uliowafanyia.
Na kwa vile mengi wanakuwa wameishayaona basi wewe mshika dola unakuwa na advantage kubwa kueleweka kuliko yule mpiga zumari la upotoshaji.
Kama mnavyofanya humu mitandaoni.
VIVA JPM,VIVA CCM 2025[emoji1241][emoji818][emoji818]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mjadala mkali kwa sasa mitandaoni, mitaani na viringeni juu ya kauli ya Dkt Bashiru Katibu mkuu wa CCM, Kwa ufupi ni kuwa Dkt. Bashiru alikuwa sahihi kabisa alipo jenga hoja ya kuendelea kutumia dola kubaki madarakani. Baadhi yetu tumeipokea kauli hii katika mrengo hasi na wa kiushabiki zaidi kutokana na tofauti zetu za kiitikadi. Sharti ieleweke kuwa lengo kuu la chama chochote cha kisiasa ni kushika dola, dola (state), ni dhana pana na hili ushike dola lazima upate ridhaa ya wananchi yaani umma wa Watanzania kupitia mifumo rasmi ya kidemokrasia.
Kama dola iliyopo madarakani ni sauti ya wananchi basi dola hiyo hiyo utumia mifumo ya kidola kujitawala na kuwatumikia wananchi ili iendelee kuaminika na kujichimbia madarakani. Dkt. Bashiru hajatishia kutumia vyombo vya dola kuendelea kubaki madarakani, ingetumika kauli ya namna hiyo kwa vyovyote vile yangekuwa ni makosa makubwa
kisiasa hasa kwenye siasa za mfumo wa vyama vingi, Kwa ufupi Dkt. Bashiru yupo sahihi kabisa kwa kauli yake.
Nafikiri watu wengi wanalijua hili ila wanashangaa jamaa kukiri hadharani
Haya ndo manene ya kuzungumza,Nyoka ametoka kwenye shimo kaingia sebuleni sasa!anatema mate!fimbo iko wapi??