Dkt. Bashiru: Aliye na dola ndiye ananufaika nayo kubaki madarakani, hata CHADEMA ikiingia madarakani ikaondolewa kwenye dola ni uzembe wao

Dkt. Bashiru: Aliye na dola ndiye ananufaika nayo kubaki madarakani, hata CHADEMA ikiingia madarakani ikaondolewa kwenye dola ni uzembe wao

Clearly kuna harakati za waz za ccm kuwakatisha wananchi tamaa ili namba ya wapigakura ipungue ili wajichukulie ushindi kwa kutumia dola kwahiyo ni wajibu wa wananch wakipiga kura wakumbuke kuzilinda bila hivyo wajilaum wenyewe
Bila fair ground (tume huru ya uchaguzi). Kupiga kura ni kupoteza muda.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mjadala mkali kwa sasa mitandaoni, mitaani na viringeni juu ya kauli ya Dkt Bashiru Katibu mkuu wa CCM, Kwa ufupi ni kuwa Dkt. Bashiru alikuwa sahihi kabisa alipo jenga hoja ya kuendelea kutumia dola kubaki madarakani. Baadhi yetu tumeipokea kauli hii katika mrengo hasi na wa kiushabiki zaidi kutokana na tofauti zetu za kiitikadi. Sharti ieleweke kuwa lengo kuu la chama chochote cha kisiasa ni kushika dola, dola (state), ni dhana pana na hili ushike dola lazima upate ridhaa ya wananchi yaani umma wa Watanzania kupitia mifumo rasmi ya kidemokrasia.

Kama dola iliyopo madarakani ni sauti ya wananchi basi dola hiyo hiyo utumia mifumo ya kidola kujitawala na kuwatumikia wananchi ili iendelee kuaminika na kujichimbia madarakani. Dkt. Bashiru hajatishia kutumia vyombo vya dola kuendelea kubaki madarakani, ingetumika kauli ya namna hiyo kwa vyovyote vile yangekuwa ni makosa makubwa
kisiasa hasa kwenye siasa za mfumo wa vyama vingi, Kwa ufupi Dkt. Bashiru yupo sahihi kabisa kwa kauli yake.
Kwani nani hajui kwamba dola hutumika kuongoza nchi? Hilo si liko wazi? Unachofanya wewe ni kusema baba yule anatumia kisu kuitunza familia yake kwa kwenda kuwinda na kuwaletea kitoweo, wakati kisu hicho anakitumia kuwakatili mke na watoto wake, halafu yeye mwenyewe akiri kukitumia hicho kisu kutesa familia yake.., halafu wewe uje kubisha kwamba hakusema hivyo, bali alimaanisha kutesa familia ya swala ili kuwapa familia yake kitoweo...,
 
Hivi umeelewa yanayojadiliwa hapa? Kweli ccm kuna mazwazwa wa kiwango cha juu sana.
Mtu yoyote akikosoa chadema amenunuliwa?

Dk Slaa aliwakosoa chadema akawahoji hao mnaopokea ni asset au liability? Akaambiwa ni Dk mihogo amenunuliwa na ccm lakini leo Mbowe na wazee wa chadema wanajuta hadharani kupokea pokea wanachama hovyo. Chadema badala ya kujibu hoja za Mbatia wanajificha kwenye kichaka cha amenunuliwa na CCM!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachofanya muogope tume huru ni nini sasa? Au hjyo pia ni kazi ya dola?
Mnamlisha maneno Bashiru.

Alichomaanisha kukisema in short ni hivi.

Unapokuwa umeshika dola una nafasi kubwa ya kupata ushwishi kwa kutumia dola kuwatumikia wananchi.
Mfano:

Ujenzi wa huduma za miundombinu.(hiyo ni kazi ya dola).

Utoaji wa elimu bure msingi hadi sekondari(hii ni kazi ya dola).

Ujenzi wa miradi mikubwa ya umeme kama stiegles gorge(hiyo ni kazi ya dola).

Usambazaji wa umeme vijijini kote nchini REA (hii ni kazi ya Dola).

SGR project nayo ni kazi ya dola,

Yaliyofanyawa na dola katika awamu ya tano ni meengi sana wala humu hayatoshi bali ni kazi ya washika dola kwa kutumia platform ya kampeni ili kuwasilisha taarifa za yale yaliyofanywa na dola na kisha kusubiri uamuzi kwenye debe la kura.

Kwa hiyo unapokwenda kwa wapiga kura wewe unakuwa na unafuu kama dola kwa kuwaeleza yale mema mshika dola uliowafanyia.

Na kwa vile mengi wanakuwa wameishayaona basi wewe mshika dola unakuwa na advantage kubwa kueleweka kuliko yule mpiga zumari la upotoshaji.

Kama mnavyofanya humu mitandaoni.

VIVA JPM,VIVA CCM 2025[emoji1241][emoji818][emoji818]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mjadala mkali kwa sasa mitandaoni, mitaani na viringeni juu ya kauli ya Dkt Bashiru Katibu mkuu wa CCM, Kwa ufupi ni kuwa Dkt. Bashiru alikuwa sahihi kabisa alipo jenga hoja ya kuendelea kutumia dola kubaki madarakani. Baadhi yetu tumeipokea kauli hii katika mrengo hasi na wa kiushabiki zaidi kutokana na tofauti zetu za kiitikadi. Sharti ieleweke kuwa lengo kuu la chama chochote cha kisiasa ni kushika dola, dola (state), ni dhana pana na hili ushike dola lazima upate ridhaa ya wananchi yaani umma wa Watanzania kupitia mifumo rasmi ya kidemokrasia.

Kama dola iliyopo madarakani ni sauti ya wananchi basi dola hiyo hiyo utumia mifumo ya kidola kujitawala na kuwatumikia wananchi ili iendelee kuaminika na kujichimbia madarakani. Dkt. Bashiru hajatishia kutumia vyombo vya dola kuendelea kubaki madarakani, ingetumika kauli ya namna hiyo kwa vyovyote vile yangekuwa ni makosa makubwa
kisiasa hasa kwenye siasa za mfumo wa vyama vingi, Kwa ufupi Dkt. Bashiru yupo sahihi kabisa kwa kauli yake.

Nanukuu maneno ya Dr. Bashiru. Ameandika hivi, "Kama chama chochote kinachoongoza serikali kitashindwa kutumia dola kubaki madarakani, itakuwa ni uzembe wake wenyewe." Mwisho wa kunukuu.

Ukiyasoma hayo maneno humo kuna maneno mawili yametenganishwa.

1. Serikali

2. Dola

Hivi kwa akili yako unadhani dola inayozungumziwa hapo ni ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safari hii Kila neno lililojificha litanenwa,waliojificha upinzani watajitokeza hadharani ili mradi kuwakatisha tamaa wananchi kupiga kura kwani wanaanza na vitisho Kisha wanamalizia namaneno Kama haya"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichwa kinaniuma ndugu zangu....
Hapa mzee amekosea kauli au anamaanisha nini?
IMG-20200306-WA0082.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningekuwa mimi sijaielewa hiyo kauli ningeomba maelezo zaidi ili nielewe lakini watanzania hatuna utamaduni huo na kuona tunajua kila kitu hata tusivyojua
 
Kikubwa naomba tukumbushane Mwalim Nyerere alisema atukuwapinga makaburu wa South Africa kwa Sababu ya Rangi zao tuliwapinga Sababu ya matendo yao kinachoendelea ss hv Serikalini na ndani ya CCM ni zaidi ya ukaburu Sema nashukuru mungu Huyu Dr. Bashir toka nikimsikiliza km mchambuzi wa siasa wakt bado yupo jalalani nilikuwa nikijua wazi kuna mambo mawili kichwani azimtoshi au njaa inamsumbua yote amedhirisha mwenyewe ss hv...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anachosema ndicho kinachoendelea. Hivi karibuni zaidi ya mara mbili amakuwa akifanya mikutano na taasisi za kifedha zenye mkono wa serikali ndani yake i.e CRDB, NMB, Benki ya Kilimo,TPB, TIB, Azania na nyingine chache katika kuweka mkakati wa kuhakikisha wanufaika wa hizi taasisi ni wale makada kindakindaki wa CCM.

.kwa hiyo kama wewe ni Upinzani au huungi nkono juhudi na una account ya benki katika hizo benki jua huna lako hata ukikosa mkopo zipo sababu nyingi watakujengea kikubwa ni siasa. Amekuwa akipatiwa pia listi ya wakopaji kutoka taasisi hizo kwa hiyo jamaa ana majina yote wa wafanyabiashara(wakopaji) wakubwa sijui anahitaka listi hiyo kwa ajili gani...
 
Nyoka ametoka kwenye shimo kaingia sebuleni sasa!anatema mate!fimbo iko wapi??
Haya ndo manene ya kuzungumza,
Mana Bashiru kasema hali halisi ilivyo,Na katutowa wasiwasi kuwa hawatoacha kutumia nguvu za dola kukandamiza upinzani.
Sasa hadi tuamue wenyewe kuvunja ukuta
Kuvunja ukuta
Kuvunja ukuta
ili tutoke kwenye jela hii ya ccm.
Wametufungie kwenye gereza la kutofanya siasa
Ilhali katiba inaruhusu.
Ukijaribu unapambana na polisi.


Saa ya ukombo Ni sasa
Viongozi walo mahiri watuongoze kuvunja UKUTA
Pasi na hilo hamna upinzani.
 
viongozi wetu wengi ni weupe vichwani, hivi hayo ni maneno yakuongea live kwenye vyombo vya habari?
hili ni jibu lilikosa mtumbuaji OVA
 
Asante Bashiru kuilezea dunia kuwa CCM imekoma kuwa chama cha siasa na kubaki kuwa genge la watu wachache wasiojiamini walioamua kutumia mabavu ya dola kutawala.
tapatalk_1582299881767.jpeg
FB_IMG_1582080397242.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom