Mnamlisha maneno Bashiru.
Alichomaanisha kukisema in short ni hivi.
Unapokuwa umeshika dola una nafasi kubwa ya kupata ushwishi kwa kutumia dola kuwatumikia wananchi.
Mfano:
Ujenzi wa huduma za miundombinu.(hiyo ni kazi ya dola).
Utoaji wa elimu bure msingi hadi sekondari(hii ni kazi ya dola).
Ujenzi wa miradi mikubwa ya umeme kama stiegles gorge(hiyo ni kazi ya dola).
Usambazaji wa umeme vijijini kote nchini REA (hii ni kazi ya Dola).
SGR project nayo ni kazi ya dola,
Yaliyofanyawa na dola katika awamu ya tano ni meengi sana wala humu hayatoshi bali ni kazi ya washika dola kwa kutumia platform ya kampeni ili kuwasilisha taarifa za yale yaliyofanywa na dola na kisha kusubiri uamuzi kwenye debe la kura.
Kwa hiyo unapokwenda kwa wapiga kura wewe unakuwa na unafuu kama dola kwa kuwaeleza yale mema mshika dola uliowafanyia.
Na kwa vile mengi wanakuwa wameishayaona basi wewe mshika dola unakuwa na advantage kubwa kueleweka kuliko yule mpiga zumari la upotoshaji.
Kama mnavyofanya humu mitandaoni.
VIVA JPM,VIVA CCM 2025[emoji1241][emoji818][emoji818]
Sent using
Jamii Forums mobile app