BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 1,568
- 1,923
Kila jambo lina muda wake Mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaamini ukiwakamata viongozi Wa juu wa vya dola Kwa kuwapa minofu basi wamewakamata wote yaani Wa chini wao ni kutii tu maagizo kumbe awaelewi Wa chini wwengi nao ni wahanga sawa Na jamii inayoumia maana ni sehemu ya jamii pia hivo kutegemea dola ni upofuReturn Of Undertaker,
Hongera Dr. Bashiru kwa kusema ukweli kuwa bila dola CCM haiwezi kushinda. Nataka nimfundishe kidogo kuwa dola haijawahi kushinda umma, akaliulize Kaburi la Dikteta Gadafi kama Dola ilishinda nguvu ya Umma. Sisi tunajivunia nguvu ya Umma na wao watumie Dola na ICC itawahusu.
Hatimaye mnakiri kuwa CCM inatumia dola kubaki madarakani!Mtasema yote mnayoyafanya,ipo siku mtakiri kujaribu kumtoa roho Lissu!Ndio maana kumtoa Mbowe kwenye uwenyekiti ni kazi mno, ukijaribu tu unaambiwa sumu haijaribiwi kwa kuonjwa.
Hukuona kilichotokea zanzibar 2015?Hiyo ndio maana ya dola!Au pia muulize kafulila,jumla ya kura zilionesha yeye ndiye kashinda lakini mkurugenzi kamtangaza yule mama wa CCM ndiye mshindi,alihangaika na ushahidi mahakamani akapigwa kalenda mpaka akachoka,wakaona wampe ofa ajiunge nao kisha apewe shavu!Hiyo ndio maana ya alichokisema Bashiru!Dola unahusikaje na uchaguzi? Kwa kweli hapa sijaelewa kabisa.
Ukitaka kupata picha kamili,unganisha na maneno aliyowahi kusema JK kuwa CCM iache kutegemea kubebwa na dola badala yake ijibu hoja kwa wananchi!Yaani pamoja na maelezo aliyoleta undetaker huyu ole mushi kashindwa kumuelewa bashiru?
Jeshi huwa linalinda maslai ya nchi polisi wao ulinda maslai ya wanasiasa. Jeshi huwa linapima nguvu ya wananchi ikiwa kubwa umtosa mtawala Na kuungana Na wananchi iko duniani kote jeshi uamini ni heri wamtose mtawala ili wengi wapone sababu uogopa kutengwa kimataifa ndio kilichotokea Zimbabwea, Malawi, Sudan, Egypt nk.Mie nilipenda na kufurahia Zimbabwe ambako Jeshi lilikuwa linawakata makofi askari wanaozuia RAIA kuandamana, always soldiers are smart than policemen
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina watani zangu usiombe mambo yao yakukute. Bora yasikie kwangu kama michapo. Akikukanyaga, ukirogwa ukamuuliza, utashangaa jibu lake. Umemuuliza tu kwa sababu za kuchangamsha baraza.Huu ni ukweli sana au kuongea sana!
Hahaha bora niungane na wewe na mimi bora nikakizamishe kwenye mavi tu, maana hakuna namna tena.Ndio maana kitambulisho cha mpiga kura nilikitupa kwenye mavi. Hakina tena legitimacy ya kunipa haki yangu ya msingi.
Sent using Jamii Forums mobile app