MKUYENGE
JF-Expert Member
- Jun 26, 2019
- 4,107
- 4,612
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Rais Kaunda wa Zambia aliposhondwa uchaguzi wa vyama vingi kwa mara ya kwanza, Mzee Daniel Toroitich Arap Moi alimshangaa sana akasema inakuwaje Kaunda anashindwa uchaguzi wakati ana dola?Sioni sababu ya upinzani kushiriki huu uchaguzi. Kumbe vyama vya upinzani vinashindana na CCM pamoja na dola. Katibu mkuu wa CCM bora akae kimya maana hajielewi. Kalewa vibaya mno.
Mazingira ya Zimbabwe ni tofauti na ya Tanzania, kule alikuwa mtawala mmoja muda wote lakini huku kwetu ni watawala tofauti tofauti ila chama ndo cha muda wote na kila mtawala anakuja kwa staili yake.Dr. Bashiru aende akamuulize Marehemu Robert Mugabe, kuhusu wananchi wakimchoka mtawala hali huwa inakua vipi.
CCM wanajidanganya sana, halafu huwa wanajisahaulisha kwamba ipo siku raia wataamua la kuamua.
Dola haijawahi shindana Na wakatiHafadhali ya Bashiru. Hata kama ingelikuwa miye ningefanya hivyo hivyo. Na wewe pia hivyo hivyo. Wacha mchezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya Mungu mpe Mungu na ya Kaisari mpe KaisariShetani hajawahi kumshinda Mungu
Alichokisema ndio ukweli wenyewe, labda kosa lake ni kusema hadharani mbele ya vyombo vya habari.
Bashiru 👎 ni kielelezo cha wasomi wa tumbo street. Unganisha uzi huu na matamshi ya kutumia dola kulinda ushindi wa ccm hapo. Tunzeni vielelezo vya ICC mwakani.''Mchakato wa katiba mpya ni kiporo kilichochacha, ukila utaumwa matumbo''-Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu @ccm_tanzania
#BashiruAllyIPPMedia