Kaisari
JF-Expert Member
- Nov 13, 2012
- 3,636
- 3,042
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It's true that Dkt Bashiru of UDSM and Dkt Bashiru of Lumumba are two very different people!
Tushukur Mungu ameongea ukweli pasipo shaka...asingeongea hivi angekua hajafumbua macho ya watu kuhusu majukumu ya dola...watu wangeamini kwamba dola inafuata katiba na sheria za nchi na sio kufuata maelekezo ya mtu au tasis fulani..Habari inayo-trend sana kwenye mitandao ya kijamii hivi sasa ni kauli aliyoitoa Katibu Mkuu wa CCM, Dkt Bashiru Ally, kuwa wao wanaendelea kubaki madarakani kutokana na kutumia vyombo vya dola...
Sasa Mkuu Kalamu1 unategemea wananchi tutumie mbinu gani, wakati Katibu Mkuu keshaweka wazi kuwa wao CCM wanatumia vyombo vya dola kuwatetemesha wananchi, ili waendelee kubaki madarakani?Mkuu 'Mystery'
Wewe huoni kwamba Katibu Mkuu anastahiri kushukuriwa kwa kuwa muwazi; waTanzania tumezoea sana unafiki wa kufichaficha mambo hata wakati tunapokuwa tunajua yanayofanyika, sisi tunabaki kufichaficha, sijui kwa faida ya nani?....
Kama "Maktaba" itakosa mkanda ulio na maneno aliyotumia Katibu Mkuu, mtunza Maktaba itabidi abadilishwe haraka.
Kama "Maktaba" itakosa mkanda ulio na maneno aliyotumia Katibu Mkuu, mtunza Maktaba itabidi abadilishwe haraka.
Kama "Maktaba" itakosa mkanda ulio na maneno aliyotumia Katibu Mkuu, mtunza Maktaba itabidi abadilishwe haraka.
Uelewa wangu ni kwamba 'DOLA' ni mali ya wananchi, wao wamekabidhiwa tu na wananchi hao kuitumia kwa kazi zinazofahamika.Sa
Sasa Mkuu Kalamu 1 unategemea wananchi tutumie silaha gani, wakati Katibu Mkuu wa nchi keshaweka wazi kuwa wao CCM wanarltumia vyombo vya dola kuwatetemesha wananchi, ili waendelee kubaki madarakani?
Wewe umeongelea nadharia, na ndivyo inavyotakiwa kuwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi.Uelewa wangu ni kwamba 'DOLA' ni mali ya wananchi, wao wamekabidhiwa tu na wananchi hao kuitumia kwa kazi zinazofahamika.
Wenye 'DOLA' ndio wenye mamlaka ya kuichukua mali yao wakati wowote wasipopendezwa jinsi inavyotumika...
Huyu jamaa hata sura inaanza kubadilika!
Ni muhimu hizi zijengewe hoja nzito na watu wanaoyaelewa maswala ya aina hii zisikae tu maktaba kujaza nafasi.