Dkt. Bashiru: Aliye na dola ndiye ananufaika nayo kubaki madarakani, hata CHADEMA ikiingia madarakani ikaondolewa kwenye dola ni uzembe wao

Dkt. Bashiru: Aliye na dola ndiye ananufaika nayo kubaki madarakani, hata CHADEMA ikiingia madarakani ikaondolewa kwenye dola ni uzembe wao

Msajili atasukumiwa "UTAKATISHAJI FEDHA, UHAINI, UHUJUMU UCHUMI". Hilo analifahamu vizuri sana ndio maana kaufyata mkia katikat ya miguu.

Bashiru utamsikia siku mbili hizi anaita press conference na kusema wamepotosha alichoongea, kwa jinsi gani CCM wanavyotuona raia mambumbuza (hatuelewi kiswahili, hatujui kusoma wala hatujielewi vichwani).

Sasa hivi Tanzania Kitambulisho Cha CCM kinanguvu kuliko hata Passport wala Kitambulisho Cha Taifa. Hatari hii.
 
Loud and clear! Ujumbe umewafikia walengwa. Mikakati ya vyama vya upinzani ilenge kukusanya (mobilization) nguvu kubwa ya umma ili kupambana na genge hili la Bashiru linalo kiri waziwazi kuwa halina ushawishi kwa wananchi bali linatumia dola kubaki na mamlaka!
Athari zake:

Hili likifanyika lazima kuwe na umwagaji damu!
 
Kutumia dola kushika dola ni tofauti na kutimia dola kushinda uchaguzi. Chama chochote duniani chenye kushika dola huwa kina advantage ya kutumia dola kutengeneza sera na sheria zinazoweza kuwavutia wapiga kura, mfano wa vitambulisho vya wamachinga kwa Tanzania, kuongeza kodi kwa bidhaa za China zinazouzwa marekani n.k. Huko ndio kutumia dola kushika dola.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kifupi Dr Bashiru kavujisha siri za vikao vya chama kuwa mnatumia Dola kuwasulubu wapinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutumia dola kushika dola ni tofauti na kutimia dola kushinda uchaguzi. Chama chochote duniani chenye kushika dola huwa kina advantage ya kutumia dola kutengeneza sera na sheria zinazoweza kuwavutia wapiga kura, mfano wa vitambulisho vya wamachinga kwa Tanzania, kuongeza kodi kwa bidhaa za China zinazouzwa marekani n.k. Huko ndio kutumia dola kushika dola.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtahangaika sana kama KUKU anayetaga, kutetea udikiteta na matamshi ya kidikiteta kunahtaji kujitoa akili. Ukijifanya una akili timamu utafeli. Unadhani watetezi wa CCM mitandaoni hawajasikia huo uharo alioharisha Bashiru?

Mbona wamekaa kimya utafikiri wamesafiri wote? Wewe jifanye *fyatu* ndo utaweza kutetea upuuzi wa Katibu wako, vinginevyo umeshafeli kabla hujaanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pita kushoto ww watz hatushikiwi akili na nyie walevi wa madaraka, kama umemuelewa hivo ni wewe ila usitake kutulazimisha sisi tumuelewa kama ww achana na sisi kabisaa, ukweli tunaujua mda mrefu ndio maana kila siku chaguzi zenu mnazoziandaa kwa gharama kubwa zinakosa mvuto kwa wananchi hawaendi kupiga kura maana ni kuharibu hera za walipa kodi wanyonge bure wakati mshindi mshampanga wenyewe yaani mnafanya kutung'ong'a siyo!! [emoji848] [emoji22]?

Nyie si mmejimikikisha kila kitu cha nchii basi fanyeni wenyewe msitushirikishe chochote tuacheni tupambane na hali zetu tyshaanza kuzoea.. Ila iko siku hiyo dora itawachoka kuwabeba na kuwalinda jiandaeni kisakolojia mapema.
 
Chama kimekiri chenyewe kuwa kinatumia dola kubaki madarakani.

Msajili akifute au afute vyama vyote vya upinzani kibaki chenyewe.

Sasa kuna haja gn kupoteza hela za kufanya uchaguzi?
Utaifuta wewe kwani msajili wa vyama yeye ni sehemu ya kuhakikisha CCM inashinda.
 
Katibu Mkuu wa CCM amesema ukweli, na huo ndiyo ukweli wenyewe, kwa sababu msema ukweli ni mpenzi wa Mungu.
 
Dola ya CCM, ifute usajili wa CCM, kwa sababu CCM imekiri kua inatumia dola iliyowekwa na CCM. Sahau!
 
Mpwa!

Unahisi msajiri hana akili?

Tatizo hapa Tanzania viongozi wa kufanya maamuzi wanapenda kuangalia watu au kikundi kwa usoni alafu ndio wanarejea kuangalia sheria zinasemaje.

Bongo bado tutapambana kwa mengi kiukweli.
 
Back
Top Bottom