Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Athari zake:Loud and clear! Ujumbe umewafikia walengwa. Mikakati ya vyama vya upinzani ilenge kukusanya (mobilization) nguvu kubwa ya umma ili kupambana na genge hili la Bashiru linalo kiri waziwazi kuwa halina ushawishi kwa wananchi bali linatumia dola kubaki na mamlaka!
Kwa kifupi Dr Bashiru kavujisha siri za vikao vya chama kuwa mnatumia Dola kuwasulubu wapinzani.Kutumia dola kushika dola ni tofauti na kutimia dola kushinda uchaguzi. Chama chochote duniani chenye kushika dola huwa kina advantage ya kutumia dola kutengeneza sera na sheria zinazoweza kuwavutia wapiga kura, mfano wa vitambulisho vya wamachinga kwa Tanzania, kuongeza kodi kwa bidhaa za China zinazouzwa marekani n.k. Huko ndio kutumia dola kushika dola.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtahangaika sana kama KUKU anayetaga, kutetea udikiteta na matamshi ya kidikiteta kunahtaji kujitoa akili. Ukijifanya una akili timamu utafeli. Unadhani watetezi wa CCM mitandaoni hawajasikia huo uharo alioharisha Bashiru?Kutumia dola kushika dola ni tofauti na kutimia dola kushinda uchaguzi. Chama chochote duniani chenye kushika dola huwa kina advantage ya kutumia dola kutengeneza sera na sheria zinazoweza kuwavutia wapiga kura, mfano wa vitambulisho vya wamachinga kwa Tanzania, kuongeza kodi kwa bidhaa za China zinazouzwa marekani n.k. Huko ndio kutumia dola kushika dola.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msajili mwenyewe amewekwa na CCM.
Utaifuta wewe kwani msajili wa vyama yeye ni sehemu ya kuhakikisha CCM inashinda.Chama kimekiri chenyewe kuwa kinatumia dola kubaki madarakani.
Msajili akifute au afute vyama vyote vya upinzani kibaki chenyewe.
Sasa kuna haja gn kupoteza hela za kufanya uchaguzi?
Ni mkereketwa na mwanachama wa CCM mpya.Msajili mwenyewe amewekwa na CCM.