Dkt. Bashiru Ally awakaribisha ndani ya CCM Halima Mdee na wenzake

Na hii ndio ilikuwa agenda kuu ya mkutano wa Bashiru, hayo mengine ni yatokanayo tu
 
Halima kajiharibia heshima yake aliyoipigania miaka kwa vipande vya mkate na kusahau Kama alikamata sanduku la kura feki.
 
Wamekipata walichokuwa
"Allez. Bon voyage".
 
Tubagambile: Mpao. Bagendege.
 
Mamba hutamba majini tu aje huku nchi kavu tuone atafukuzwa hata na ndama.
Hao wanawake ndio hivyo tena "The end of an era", the traitors pay with their own blood.
 
Imetimia sidhani kama kina Halima mdee wanahitaji tena kutoa neno kwa waandishi wa habari, ni wazi sasa mpango ulisukwa na sasa umetimia wanakaribishwa waziwazi hii ni kusema hawa ni wasaliti kwa rangi zote, walifikia bei mujarrabu na nadhan sasa turudi kwenye ile kauli ya Spika mstaafu hawa sasa inabidi watoke bungeni mana si wabunge tena wasubiri 2025 ila kwa sasa wanaweza kuvaa nguo za kijani labda kama rais yupo interested awateuwe tena kwenye zile za upendeleo, Natarajia soo kumuona Halima mdee akivaa nguo za kijani na kikofia wakila bata pamoja na Muhagama.

Tanzania hasa Tanganyika itachukua miaka mingi sana upinzani kuwa upinzani wa kweli mpaka sasa bado ni maigizo tu. Hofu yangu zaidi ni kina hawa Mnyika, Sugu, Heche na Msigwa nahisi kama na wao soon tutasikia washaukubali mfumo. Lissu ndo ashakuwa mtu wa Ulaya, Mbowe peke yake mapambano yatamshinda itabidi waanze mwanzo kule kwetu wanaita alifu kwa ujiti.
 
Mission accomplished. Ni akili kubwa sana ilitumika kuwakusanya wanawake kichwa wa Chadema ambao CCM nimekuwa ikiwatamani muda mrefu. Wanaona Njia nzuri ni kuwateua kibatili kupitia hizo mamlaka wakijua wakiwaapisha tu watafukuzwa. Na ndiyo Njia ya kuwapata. Na wakishapatikana baadhi watateuliwa vitiI Maalum CCM na wengine watapewa kazi za uteuzi. Mark my wirds today 30th November 2020#@Zogwale
 
Hii maana yake wamekubali mchakato wa kuapishwa ulikuwa ni feki.

Maana yake Chadema imewafukuza kihalali na hivyo the only option ni kuwaruhudu waje CCM.
Nafasi hamzitaki, wakina Mdee mmeshawatimua Sasa makelele ya nn?

Au bado mnataka kupeleka majina mengine.
 
Halima kajiharibia heshima yake aliyoipigania miaka kwa vipande vya mkate na kusahau Kama alikamata sanduku la kura feki.
Kwani Halima anakula wapi kama sio bungeni ??. Tuangalie pande zote anahitaji kula kama mimi na wewe BASI. ISISEME NI NJAA MAANA HATA WEWE UNAYO .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…