Dkt. Bashiru Ally awakaribisha ndani ya CCM Halima Mdee na wenzake

Dkt. Bashiru Ally awakaribisha ndani ya CCM Halima Mdee na wenzake

Kauli za mdee kwa mnyika zilikuwa na shombo,
saivi shombo ananuka yeye
Uchafu wote kamwagiwa yeye
yani kama jalala anavyochafuliwa

pole dada zetu saiv mtulie mkae mbali na mitandao msije mkapata presha bure.
 
Hawana thamani tena hao wachukueni tu.
Mkuu nafahamu fika kabisa ulisoma kitabu kama sikosei ilikuwa darasa na 3 au 4 ''Sungura sizitaki mbichi hizi'' baada ya kushindwa kuzirukia na kuzitafuna. Siasa sio uadui. Wote ni Watanzania tunapita tu hapa duniani kuna maisha baada ya kifo.
 
Kwa CCM wamejua hata Covid 19 wakiende mahakamani watashidwa v ibaya kheri wawachukue tuu, wawape UDC, URAS na vyeo vingine.
 
Imetimia sidhani kama kina Halima mdee wanahitaji tena kutoa neno kwa waandishi wa habari, ni wazi sasa mpango ulisukwa na sasa umetimia wanakaribishwa waziwazi hii ni kusema hawa ni wasaliti kwa rangi zote, walifikia bei mujarrabu na nadhan sasa turudi kwenye ile kauli ya Spika mstaafu hawa sasa inabidi watoke bungeni mana si wabunge tena wasubiri 2025 ila kwa sasa wanaweza kuvaa nguo za kijani labda kama rais yupo interested awateuwe tena kwenye zile za upendeleo, Natarajia soo kumuona Halima mdee akivaa nguo za kijani na kikofia wakila bata pamoja na Muhagama.

Tanzania hasa Tanganyika itachukua miaka mingi sana upinzani kuwa upinzani wa kweli mpaka sasa bado ni maigizo tu. Hofu yangu zaidi ni kina hawa Mnyika, Sugu, Heche na Msigwa nahisi kama na wao soon tutasikia washaukubali mfumo. Lissu ndo ashakuwa mtu wa Ulaya, Mbowe peke yake mapambano yatamshinda itabidi waanze mwanzo kule kwetu wanaita alifu kwa ujiti.
It's a good riddance. Let them separate grain from chaff and eventually history will repeat itself.

Nowhere in the world 🌎🌍 has dictatorship ever prevailed over freedom.
 
''Upinzani walikuwa na wakinamama wenye ushawishi sana na wametusumbua sana huko majimboni haikuwa rahisi. Lakini nasikitika sana vyama vyao haviwathamini na havitaki kuitambua nguvu yao,
Ushawishi na nguvu ile siyo ya hao wanawake Binafsi, ni ya chama
 
Hivyo nyie wapenzi wa Chadema mnafikiria kwa kutumia nn? Makalio au Kichwa? Hamuoni kama Mbowe anawaingiza chaka? Hivyo wabunge wote waliokikimbia chama mnawaona ni wajinga kiasi hicho? kuwa awakijui kwa undani chama chao au nini? WANACHAMA WA CHADEMA MJITAFAKARI
 
Kwanza hakuna mbunge aliyekimbia pili tofautisha kukimbia na kufukuzwa.
 
Vipi na uasi wa Mboye kumpokea lowasa
CCM walizunguka nchi nzima kuutangazia uma kwamba wapinzani wanakwamisha maendeleo na ndiomaana wakakwapua majimbo yote hili bungeni wawe pekeyao chakushangaza leo hii tena wanawalazimisha wapinzani kwenda bungeni kwa nguvu amakweli hii dunia ina maajabu yake. Kuna nini Kwan
 
Dkt. Bashiru ametoa kauli hiyo wakati akifungua mkutano wa Kamati za Jumuiya za Chama hicho uliofanyika leo jijini Dodoma ambapo amesema kuwa, vyama vya upinzani vilikuwa na wagombea wengi wanawake majimboni na walikuwa na ushawishi mkubwa.

''Upinzani walikuwa na wakinamama wenye ushawishi sana na wametusumbua sana huko majimboni haikuwa rahisi. Lakini nasikitika sana vyama vyao haviwathamini na havitaki kuitambua nguvu yao, Wanawake wa shoka wote wa Upinzani karibuni @ccm_tanzania milango iko wazi'' - Dr. Bashiru
unajua kitu ambacho ccm wanashindwa kuelewa kutokana na ufinyu wa fikira zao wanafikiri upizani ni viongozi maalufu hawajui kuwa hao viogozi maalufu wamekuwa maalufu kwa sababu ya msimamo wa chama chao wa kupigania haki. hata ukimuchukuwa Mbowe au tundu lissu ukamweka ccm akaanza kuhubili upuuzi kama wa Bashiru na Polepole umarufu wao unaishia hapo hapo. upizani ni fikira na imani sio mtu binafusi. yaani maccm hawana akili kabisa. badala ya kujilekebisha na kuanza kuwasikiliza wananchi wanataka nini wao wanatumia kodi za wananchi kununuwa wapizani wakifikiri kama hamna wapizani wananchi hawatajuwa kuwa hospitalini hakuna dawa. au wanafikiri kama Mbowe hayupo watanzania wakuwa wanafurahia kupita kwenye barabara zilizo jaa Massimo. au wanafikiri Tundu Lissu akiwa hayupo watanzania hawatajuwa kuwa kuna shule zisizo kuwa na vyoo,walimu, madalasa wala vitabu.
 
CCM walizunguka nchi nzima kuutangazia uma kwamba wapinzani wanakwamisha maendeleo na ndiomaana wakakwapua majimbo yote hili bungeni wawe pekeyao chakushangaza leo hii tena wanawalazimisha wapinzani kwenda bungeni kwa nguvu amakweli hii dunia ina maajabu yake. Kuna nini Kwan
Kuna tirioni 2 za mabeberu
 
Dkt. Bashiru ametoa kauli hiyo wakati akifungua mkutano wa Kamati za Jumuiya za Chama hicho uliofanyika leo jijini Dodoma ambapo amesema kuwa, vyama vya upinzani vilikuwa na wagombea wengi wanawake majimboni na walikuwa na ushawishi mkubwa.

''Upinzani walikuwa na wakinamama wenye ushawishi sana na wametusumbua sana huko majimboni haikuwa rahisi. Lakini nasikitika sana vyama vyao haviwathamini na havitaki kuitambua nguvu yao, Wanawake wa shoka wote wa Upinzani karibuni @ccm_tanzania milango iko wazi'' - Dr. Bashiru
Wakati wa kampeni mlisema hawa hawana lolote, kumbe ilikuwa suala la "mkono utadondoka lini"
Ni kawaida, nakumbuka ya Mgwira, Silinde, juakali nk
 
Masikini Bashilu ,amekimbiwa na Chakubanga.
watu wengi wanabaki kumbeza manokoa wanaotumika kuwasifu viongozi ,labda na yeye akateuliwa mbunge kisha akawa balozi wa China.
 
Mliwaita malaya wakati wa kampeni sasa hivi mnawaita wanawake wa shoka.

Bashiru unadhalilisha sana Ph.d yako na chuo chako cha Jalalani University.
 
Back
Top Bottom