lolypop
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,430
- 1,688
Hata kama mkiwachukua hao wamama hawaruhusiwi kuaminiwa na mtu. Kama wameweza kuisaliti cdm kwa vipande vya fedha hawatashindwa kuisaliti ccm.
Samsom na delila. Japo delila alitumiwa na mfalme/rais wa nchi ya ufilisti kumkamata samsoni, mwisho wa siku mfalme aliyemtuma alimwambia waziwazi "" WEWE NI MWANAMKE USIYEPASWA KUAMINIWA""
Mrema alipokubali kuuza uraisi kwa Nyerere maika 90's . Nyerere alisema mrema hapaswi kuaminiwa japokuwa nyerere huyo huyo ndo aliyemshawishi