Dkt. Bashiru Ally awakaribisha ndani ya CCM Halima Mdee na wenzake

Hata kama mkiwachukua hao wamama hawaruhusiwi kuaminiwa na mtu. Kama wameweza kuisaliti cdm kwa vipande vya fedha hawatashindwa kuisaliti ccm.

Samsom na delila. Japo delila alitumiwa na mfalme/rais wa nchi ya ufilisti kumkamata samsoni, mwisho wa siku mfalme aliyemtuma alimwambia waziwazi "" WEWE NI MWANAMKE USIYEPASWA KUAMINIWA""

Mrema alipokubali kuuza uraisi kwa Nyerere maika 90's . Nyerere alisema mrema hapaswi kuaminiwa japokuwa nyerere huyo huyo ndo aliyemshawishi
 
Mdee angemuuliza lijualikali yupo wapi. Nakumbuka alilia kabisa lakini chadema inadunda tu. Kuwa chadema raha sana jaman
 
Nileteeni Bikidude
Nileteeni Bikidude
Nileteeni Bikidude
Nileteeni Bikidudeeeeeeeeeeeee!!!!!!!
Alisikika msomi mmoja uchwara hivi.
 
Maaajabu Tanzania hayataisha kamwe
 
Safi sana hawa wataleta nguvu mpya na kuisaidia CCM kusonga mbele kwa kasi nzuri katika kuleta MAENDELEO.
 
Sasa ni muda wa kuwa sajili chama kubwa ili,tupate mchango wao kwa taifa kwani hawata kwamisha tena maendeleo.
 
Ila aliyewabunia jina la Covid 19 katisha.
Maisha yao yote sasa wataishi na hili jina.sijui wanajisikiaje huko waliko.Hii ndio inaitwa wrong turn
 
Kwa hiyo jamaa ameubariki mchakato wa kuondoa magugu kuwa ni halali hivyo tusije kusikia sub woofer anawakingia kifua
 
Wamekuwa wanawake wa shoka leo. Mbona hakutamka mwanzo
 
Halima alikuwa hajuwi kama wananchi wanamaisha magumu mitaani?
 
Waombe radhi wanachama na viongozi warejee chamani...
 
We have to come together as a nation and unite around our shared goal: defeating this virus called ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…