Hehehehehe unafikiri kila mtu analipwa kama Bawacha mnavyopewa buku buku za bando??You don't have evidence right? Acha kubwabwaja kwani huna utakachopata kutoka unakodhani unawahangaikia! Katafute kazi uingize kipato kwani bando zile za bure hutozipata kutoka kwa kina polepole na bashiru maana wamekuwa yatima!
Bawacha mmebaki kushangilia CCM sasa... tusio na vyama tunawacheka tu 😅😅😅Mwambie mama anapruni kimya kimya Hana papara Wala haraka 🤣🤣
Wewe ni mke wa huyo niliyemquote? Naona kimekuwasha kuliko muhusika,msalimie mumeo basi.Dada vipi!
eti umeachika?
Huyu ni mhaini!Kwa alichomfanyia Bi mkubwa sidhani
Comments nyingine ni demonic kabisa!! Chuki binafsi na wivu wa kijinga ukizidi mtu anajikuta anazungumza chochote kinacho mjia kichwani he/she goes "kuzizima kwa shangwe haimanishi wanakupenda na kukubali" unacho sahau ni kwamba Wabunge wote ni watu wazima wenye akili za kuheshimu insticts zao, wanajua mtu ambaye ni Mzalendo wa kweli ambaye anaipenda nchi yake kwa dhati na hana mawaa to talk about, majizi na mafisadi ndani ya chama na nje ya chama ndio hawampendi Bashiru kutokana na msimamo wake dhabiti unao chukia all vices mentioned above emulating JPM and Mwl.Nyerere to the letter.Bunge Kuzizima kwa Shangwe haimaanishi kuwa Wanakupenda na Kukukubali tena hao Wanaoshangilia hivyo Mioyoni mwao Wanamcheka, Wanamng'ong'a na Wanamsindikiza na Mibonge ya Mitusi.
Dada Wacha kudanga utulie na mumeWewe ni mke wa huyo niliyemquote? Naona kimekuwasha kuliko muhusika,msalimie mumeo basi.
Bashiru Ali ndio the new Prime Minister, yale yalikuwa ni maandalizi tu....Hivi ndivyo hali ilivyokuwa, ambapo taarifa zinadokeza kwamba bunge zima limelipuka kwa shangwe baada ya kula kiapo.
Nachukua nafasi hii kumpongeza Mh Balozi Bashiru kwa hatua hii mpya.
Mungu ibariki Tanzania.
Alimfanyia nini?Kwa alichomfanyia Bi mkubwa sidhani
Mbunge mvuja jasho? Mbona wanapiga pesa tu za kutoshaChoka mbaya angekuja kuapa siku za mbele mbele aibu tupu., unatoka Ikulu unakuja kuungana na wavuja jasho
Yaani waimarishe chama na njaa wao wanapiga pesa??!!haya mambo mbona magumu Sana,then miaka Murano ikiisha anawasamehe wanaenda kugombea majimboni, atakuja kukiua hicho chamaWale kila Mbunge anampa Mbowe laki 5 kila mwezi.. Sasa fanya wabunge 20 × 500,000.
We unafikiri kuna Mchagga mjinga?? Hizo wanagawana Mbowe na Lema akina Mnyika wameachwa waimarishe chama
Unaungana na watu uliowanunua kwa vipande vya fedha leo unakuwa sawa nao..Karma is realChoka mbaya angekuja kuapa siku za mbele mbele aibu tupu., unatoka Ikulu unakuja kuungana na wavuja jasho
alifanya nini mkuu?
Leo anakuwa katikati ya walionajisika.Alisimamia kunajisi chaguzi za nchi hii.
Kwani hao wadada aliwafukuza kabisa kabisa kabisa ama bado badoNdugu, huna hata robo ya balance moja tu za account zangu. Kama unabisha fungua uzi special tuonyeshane makali na sio hapa
Get lost you damned silly fool - wapi nimelalamika Dk. Bashiru kubadirishwa kazi - wapi!! Tuna maoni tofauti hilo halikupi uhalali wa kuanza kunitukana, usifikiri hatuna uwezo wa ku-resort to using abrasive language, kama huna uwezo wa ku-withstand the heat don't stay in the kitchen, in other words learn 2agree 2disagree without offending anyone.
Soma mstari wako wa mwisho - what does it tell you about your PERSONA? Ni wazi wewe na gege lako mko driven na rabid hatred ya Dk. Bashiru kutokana na wivu to wa kijinga na gdjwa kwa nini? Eti TISS ili-vent kuhusu Dk. Bashiru kwamba hafai lakini JPM kumtehua all the same, wewe hayo umeyanjua wapi! Are you one of the Directors wa TISS au member wa Govt inner circle?
Mara ngapi tumeshuhudia JPM alipo kuwa anaapisha baadhi ya wateule akisema kwamba anasema kwamba wewe nimekuteua kuwa Waziri/katibu mkuu kwa ku-ignore ushauri wa washauri wangu including TISS of course, je, unafikiri JPM alikuwa hajui unafiki wa baadhi ya wanadamu kuchukia binadamu wenzao kutokana na wivu tu au kuchukia baadhi ya makabila hapa Nchini bila sababu zozote za msingi, wewe kwa mfano umesema wazi wazi kuwa humpendi Dk. Bashiru! Twambie,je, aliwahi kukukwaza nini kimaisha? hoja zako zote ulizo tuletea hapa kumbe ni za kubuni tu na za kinafiki,mwisho wa siku unajisahau na ku-reveal true colour yako ya chuki binafsi kuhusu Kakurwa as a person,your hatred 2wards this man shines brighter than chrismas tree.