Dkt. Bashiru Ally Katibu wangu kama hiki nilichokisikia kimetokea Kawe katika Uchaguzi wa CCM ni kweli, basi kazi ipo 2020

Dkt. Bashiru Ally Katibu wangu kama hiki nilichokisikia kimetokea Kawe katika Uchaguzi wa CCM ni kweli, basi kazi ipo 2020

Kawe kuna wenyeviti wa mitaa wala rushwa sana; safari hii wengi wamekatwa akiwemo yule wa Mbezi Beach A ambaye alikuwa anashirikiana na wauza madawa ya kulevya pamoja na majangili!! Nasikia baada ya jina lake kukatwa anakusanya wafuasi wake na kuandamana eti kuonesha kuwa anakubalika hivyo jina lake lirudishwe!!!Bashiru itabidi akomae hivyo hivyo hawa wanaokichafua chama wakae kando.

Ni kweli na nilimuona mahala akienda Kulalamika ila nasikia majibu aliyopewa huko ni ya ' Kimakavu ' zaidi. Na hiyo hiyo mbinu anayoitumia Yeye ndiyo pia anaitumia huyu Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa Kawe Mzimuni Mzee Hassan Ngonyani ila Yeye ameenda ' an extra mile ' ambapo hivi sasa anazunguka mno kwa Waganga wa Kienyeji Mama Mmoja aliyekuwa akikaa Kawe ila sasa amehamia Kiwalani. Huyu Mama ndiyo ' Hirizi ' kubwa ya huyu Mzee Ngonyani japo pia kuna Dawa zake za ' Kishirikina ' pia anazitoa huko Kwao ambazo zingine huwa anazifanyia katika Makaburi yaliyo Jirani na Ukuta wa kilipo sasa Chuo cha Udaktari na Unesi cha Lugalo mita chache pia na Lugalo Golf Club.
 
Eti wanajeshi wasimamie kumbe wako cheap kiasi hivi cha kushirikishwa Mambo ya chama?

Nimesema kama Ushauri tu Pumbavu na sijalazimisha. Kama leo hii unashangaa JWTZ kutakiwa Kusimamia huu Uchaguzi mbona hushangai kwa sasa hivi 85% ya Madereva wa UDART ni Wanajeshi na Mimi nina Mmoja wao ni Rafiki yangu anaendesha japo hawavai Sare zao? Kama mnajijua hamna Akili msiwe mnakurupuka kuja Kupoteza muda wenu katika ' Threads ' zangu sawa?
 
mfuasi wa Mtei acha jazba[emoji3][emoji3]
Mbwekaji wa Lumumba kaa kimya ngojea makombo mezani kwa chakubanga
1571388941950.jpeg
 
Kuna watu wangu (wana medani) jirani na Kawe niliwatembelea siku ya Jumapili na wakati huo nilikuwa sijui nini kinaendelea hadi pale wenyeji wangu hao waliponiambia kuwa, ilikuwa ni siku ya kura za maoni kwa wagombea wa nafasi za wenyeviti wa Serikali za Mitaa.

Nakumbuka nilikuwa eneo hilo la Kawe hadi usiku wa saa tatu ambapo kwa kujiridhisha zaidi ilinibidi nizungukie maeneo mawili muhimu ya kiuchaguzi kwa Kawe ya Mzimuni alipo mkongwe Mzee Ngonyani (ambaye inasemekana alishakatwa na hatakiwi kugombea tena ila ndiyo kinara wa fitina zote akisaidiwa na Mwenezi wake aitwae Poti Poti ) na Ukwamani alipokuwa kijana makini Sultani Jeta (ambaye kwa bahati mbaya alisema kuwa hatogombea tena kwa sababu zake binafsi).

Mheshimiwa Katibu Mkuu wa CCM sitaki kujua ‘ vimbwanga ‘ vya maeneo mengine ya Mkoa wa Dar es Salaam vilivyotokea hiyo juzi (Jumapili ) ila kwa kilichotokea katika haya maeneo ya Mzimuni na Ukwamani ‘ nimekitathmini ‘ kwa kina na kugundua kuwa kama wana CCM hasa nyie mlio ngazi za juu msipokuwa makini, basi kuna hatari mwakani vyama vya upinzani vikashinda na hamtoamini macho na masikio yenu.

Haya ni baadhi ya mambo niliyopata kutoka hayo maeneo ya Kawe Mzimuni na Ukwamani:

Rushwa za wazi wazi wana CCM kwa wana CCM

Usaliti wa wana CCM uliopitiliza

Fujo ambako kuna muda wana CCM walikuwa wakionyesha kuwa hata wao fani ya ubondia wanayo pia.

Ushirikina wa wazi wazi na kuna mtu mmoja wa Kawe Mzimuni ‘Mkongwe' ambaye nimemtaja hapo juu anajulikana na kuogopeka sana ‘Kiuchawi' kwani na ‘Uchawi ‘ wenyewe nao anaujua mno, kasema kwa kuwa jina lake mlilikata huko juu kwa juu basi na yeye hakubali na ataondoka na mtu ‘ kindumba' kiasi kwamba kuna baadhi ya watu (Wagombea) makini sasa wanatafakari kujitoa kwa ‘kumuogopa' huyo Mzee ambaye amedumu hapo Mzimuni kwa miaka takribani 20 ila ameshindwa tu hata kuitafutia gari ya wagonjwa Hospitali ya Shamba Kawe ambayo ipo mita chache na ofisi yake.

Upandikizaji wa watu ambako inasemekana kuna Mbunge mmoja (jina kapuni) aliandaa watu wake ambao wengine walikuwa ni wa Kiume ila walivalia ‘ Hijab' na waliletwa na Usafiri wa Bajaji (ambao aliwahonga pesa nzuri tu) ili waje wawapigie Kura za Maoni hao Wagombea wa CCM ambao huyo Mbunge ‘ Fulani ‘ anawamudu ili kama kawaida mwakani awatumie tena katika Kukisaliti Chama na aweze Kupita kama ambavyo baadhi yao walimsaidia huko nyuma ( bado nasisitiza kuwa hii ni Tetesi kwani hata Mimi GENTAMYCINE basi sijaithibitisha wala kuiamini kwa 100% )

Vitisho kwa baadhi ya wana CCM wa hayo maeneo kwamba kama hawatowapigia Kura basi Wao wakitumia Ujanja wao na kupita watakuja ‘ Kuwakoma ‘ na lazima tu watawafanyia tu Kitu mbaya. Na wengi wanaotishiwa hivi ni wale wana CCM ambao wanaendesha Bishara zao katika Soko la Kawe lile la Ukwamani na hili jipya lilipo Mzimuni pamoja na wale wengine waliopo mazuri kwa ‘ Fursa ‘ za Kibiashara.

Nikupongeze pia Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally kwa ‘ Kuamuru ‘ Uchaguzi huu wa ndani wa CCM urejewe / urudiwe baada ya hizo ‘ Sarakasi ‘ ila kupitia tu huu Uzi wangu GENTAMYCINE nakuomba kama itawezekana basi nakuomba katika Siku ya Uchaguzi ( ambayo bado hamjaipanga ) tafadhali omba Msaada wa Kiusalama kutoka Kituo cha Polisi Kawe au hata ikibidi hawa Jamaa zangu wana ‘ Medani / Wanajeshi ‘ wasimamie tu hivi Vituo viwili vya MZIMUNI na UKWAMANI kwani kama hili halitotendeka basi tegema taarifa za Watu ‘ Kujeruhiana ‘ vibaya na hata ‘ Kuuana ‘ pia kwani hali si nzuri kabisa.
Uyo mzee ngonyani yupo kwenye iyo nafasi kwa zaidi ya Miaka 20, bado tu anataka aendelee kuongoza tu, ivi hapo kawe kuna Kijana anaitwa Lonji, ni kibaka hatari, bado yupogo au alishatiwa moto
 
Uyo mzee ngonyani yupo kwenye iyo nafasi kwa zaidi ya Miaka 20, bado tu anataka aendelee kuongoza tu, ivi hapo kawe kuna Kijana anaitwa Lonji, ni kibaka hatari, bado yupogo au alishatiwa moto

Inasemekana ni R.I.P Kitambo sana tu.
 
Ni kweli na nilimuona mahala akienda Kulalamika ila nasikia majibu aliyopewa huko ni ya ' Kimakavu ' zaidi. Na hiyo hiyo mbinu anayoitumia Yeye ndiyo pia anaitumia huyu Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa Kawe Mzimuni Mzee Hassan Ngonyani ila Yeye ameenda ' an extra mile ' ambapo hivi sasa anazunguka mno kwa Waganga wa Kienyeji Mama Mmoja aliyekuwa akikaa Kawe ila sasa amehamia Kiwalani. Huyu Mama ndiyo ' Hirizi ' kubwa ya huyu Mzee Ngonyani japo pia kuna Dawa zake za ' Kishirikina ' pia anazitoa huko Kwao ambazo zingine huwa anazifanyia katika Makaburi yaliyo Jirani na Ukuta wa kilipo sasa Chuo cha Udaktari na Unesi cha Lugalo mita chache pia na Lugalo Golf Club.

Hapo Kawe Ngonyani ni front tu; mtu ambaye anavuruga ccm hapo Kawe ni yule aliyefukuzwa CCM baada ya kugundulika ufisadi aliofanya wa kuuuza viwanja wilaya ya Kinondoni alipokuwa Meya!! Londa ndio hirizi ya Ngonyani bila huyo hafurukuti!!!

Hapo Kawe mzimuni wakati wa uchaguzi kuna watu wawili vinara wa kuleta fujo nao ni huyo mgogo mwenye cheo cha uenezi na Kijana moja anaitwa Azimio!! Huyu Azimio aliwahi kukimbia na sanduka la kupigia Kura wakati wa uchaguzi na hakufanywa kitu!!
 
tangu lini hawa wakawa na uchaguzi huru na wa haki?
Kumbuka hawa ndio waliibatiza rushwa na kuiita takrima
Ni asili yao na iko ktk damu zao
 

Nimesema kama Ushauri tu Pumbavu na sijalazimisha. Kama leo hii unashangaa JWTZ kutakiwa Kusimamia huu Uchaguzi mbona hushangai kwa sasa hivi 85% ya Madereva wa UDART ni Wanajeshi na Mimi nina Mmoja wao ni Rafiki yangu anaendesha japo hawavai Sare zao? Kama mnajijua hamna Akili msiwe mnakurupuka kuja Kupoteza muda wenu katika ' Threads ' zangu sawa?
Hii ni thread ya kipumbavu
 
Na hapo ni uenyekiti tu wa mtaa, ngazi ya Urais si ni timbwili? Eti mara sijui mkulima anataka uondolewe ukomo wa Rais. Madaraka matamu jamani
 
Hapo Kawe Ngonyani ni front tu; mtu ambaye anavuruga ccm hapo Kawe ni yule aliyefukuzwa CCM baada ya kugundulika ufisadi aliofanya wa kuuuza viwanja wilaya ya Kinondoni alipokuwa Meya!! Londa ndio hirizi ya Ngonyani bila huyo hafurukuti!!!

Hapo Kawe mzimuni wakati wa uchaguzi kuna watu wawili vinara wa kuleta fujo nao ni huyo mgogo mwenye cheo cha uenezi na Kijana moja anaitwa Azimio!! Huyu Azimio aliwahi kukimbia na sanduka la kupigia Kura wakati wa uchaguzi na hakufanywa kitu!!

Sasa kwa Kukusaidia tu kama kuna Mtu ambaye amechangia Kumpiga ' Fitna ' Mkongwe aliyechokwa na Wananchi Mzee Hassan Ngonyani ni huyo huyo Azimio wako unayemsema hapa. Mzee Ngonyani anapewa Msaada wa Kifitna na Kipropaganda na Mwenezi wa CCM hapo jirani aitwae ' Poti Poti ' Kijana Mmoja anayependa ' Kujipendekeza ' sana kwa Wakubwa huku hata akiwatishia Watu kuwa Yeye ni mwana TISS wakati anajulikana tokea anakuwa kuwa ni Mcheza Miziki ' Mnenguaji ' wa Walevi wakiwa Baa wanakunya zao Bia. Na Baa yake Kubwa ambayo alikuwa akiwakatia Viuno vyake Walevi inaitwa Jambo Lee ipo hapo hapo Kawe. Na Mtu aliyemuinua huyu huyu Kijana Mjanja Mjanja na Tapeli ( Ila CCM Kata ya Umbwelani Kawe kaaminika sana ) Poti Poti ni Diwani Rwakatare hasa baada ya Kuanza Kumshirikisha katika mambo ya Michezo na hasa hasa Mchezo wa Ndondi ( Boxing ) huku muda mwingine akimpa Madaraka ambayo yalimlevya huyu Poti Poti na sasa anajiona Yeye hapo Kawe ndiyo kila Kitu wakati kumbe ni ' Kidampa ' Mmoja hivi aliyetukuka. Na kuna ' Kashfa ' moja ( ya Aibu kabisa ) inaendelea juu ya hawa Wawili Diwani Rwakatare na huyo Kijana Poti Poti ambayo siyo ya Kimaadili kwa Watoto wa Kiume. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Hii ni thread ya kipumbavu

Lakini pamoja na Kugundua na Kujua kuwa ni ya Kipumbavu bado umeifuata, ukaifungua, ukaisoma na bado tena ukachukua muda wako na Kunijibu. Watu ambao Shahawa ambazo ziliwatungia Mimba zenu zilikuwa na Usaha, Chembe Chembe ndogo za Mavi bila Kusahau na uwepo wa Funza ndani yake mkizaliwa huwa mnakuwa na matatizo sana kama ambavyo Wewe ' Mwandamizi ' unatuthibitishia hapa tena wazi wazi.
 
Yaani unataka kuitenganisha ccm Na rushwa, ccm Na uchawi.Ni ngumu. Yako maeneo kura za maoni zimepigwa Na wasio wanaccm tena kwa kuletwa Na wagombea ili wapite kwenye kura za maoni, Pia yako maeneo madiwani Na wabunge wameingilia michakato ili kupanga safu zao kwa ajili ya mwakani.

Sio CCM. Watanzania. Ntajie hapa chama ambacho hawana haya?
 
Sio CCM. Watanzania. Ntajie hapa chama ambacho hawana haya?

Tena hakuna eneo ambalo kuwa Rushwa kama huko Upinzani na hadi za ' Ngono ' ila sema tu hayaonekani au hayaongelewi sana kwakuwa Wapinzani wengi hivi sasa wanajificha katika Kivuli cha ' Madhambi ' yanayotokea mara kwa mara ndani ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) kutokana na Ukongwe wake katika Medani za Kisiasa nchini na Barani Afrika na hata kwa Kushika Kwake Dola hali inayopelekea Watu wengi kukiangalia chenyewe muda mwingi pia.
 
CCM Ahhaaa chama cha mafisadi ccm namba 1 kwauchawi Tunajua ccm namba 1 kwauchawi Tunajua ccm namba 1 kwauchawi Tunajua ccm namba 1 kwauchawi Tunajua ccm namba 1 eeehhh
 
Back
Top Bottom