Dkt. Bashiru Ally, Mjamaa aliyeshindwa kutuonesha ujamaa kwenye Uchaguzi

Unamaanisha nini unaposema " State Capitalism "?
Hii siyo kanuni rasmi sana, lakini ni aina ya mfumo ambao Serikali ya nchi husika inaamiliki kila nyenzo kuu za uzalishaji halafu inaanza kufanya biashara kama ambavyo mtu binafsi au kampuni hufanya. Mfano nchi inakuwa na migodi mikubwa, makampuni ya usafirishaji na viwanda ambavyo humilikiwa na serikali kwa asilimia 100% au hata 50%. Hivyo serikali ndiyo inakuwa The Vendor, The Share-holder, The Merchant, A Customer and ultimately a Competing Investor.
 
Kwani nimewauliza Fredrick Engels na Karl Max ?
Nimekuuliza wewe
State Capitalism ni pale serikali inaposimamia shughuli za kiuchumi na biashara.

Hapo makampuni makubwa (kama sasa Twiga) na mashirika kama ATCL, TTCL na mengine.

Yaani kwa maana ingine ni kwamba uchumi wa kibepari unadhibitiwa na serikali kwa kufuata mipango yake ya kiuchumi na kuingiliwa mara kwa mara pale wanapokwenda sivyo.
 
Hii siyo kanuni rasmi sana, lakini ni aina ya mfumo ambao Serikali ya nchi husika inaamiliki kila nyenzo kuu za uzalishaji halafu inaanza kufanya biashara kama ambavyo mtu binafsi au kampuni hufanya. Mfano nchi inakuwa na migodi mikubwa, makampuni ya usafirishaji na viwanda ambavyo humilikiwa na serikali kwa asilimia 100% au hata 50%. Hivyo serikali ndiyo inakuwa The Vendor, The Share-holder, The Merchant, A Customer and ultimately a Competing Investor.
Je kwa China hii system bado ipo ?
 
State Capitalism ni pale serikali inaposimamia shughuli za kiuchumi na biashara.

Hapo makampuni makubwa (kama sasa Twiga) na mashirika kama ATCL, TTCL na mengine.

Yaani kwa maana ingine ni kwamba uchumi wa kibepari unadhibitiwa na serikali kwa kufuata mipango yake ya kiuchumi na kuingiliwa mara kwa mara pale wanapokwenda sivyo.
Inakuwa katika mfumo wa Economic Planning au katika Mfumo wa State Regulation and Control mechanism?

Je China bado wako kwenye hiyo level ya Economic Planning au wako kwenye Level ya State Regulation and Control Mechanism?
 
Ana ujamaa gani huyo, mjamaa anatembelea v8 Hali Jamii inayomzunguka ula mara 4 kwa wiki kwa kuruka siku moja moja ili mtu usife njaa
 
Hii siyo kanuni rasmi sana, lakini ni aina ya mfumo ambao Serikali ya nchi husika inaamiliki kila nyenzo kuu za uzalishaji halafu inaanza kufanya biashara kama ambavyo mtu binafsi au kampuni hufanya. Mfano nchi inakuwa na migodi mikubwa, makampuni ya usafirishaji na viwanda ambavyo humilikiwa na serikali kwa asilimia 100% au hata 50%. Hivyo serikali ndiyo inakuwa The Vendor, The Share-holder, The Merchant, A Customer and ultimately a Competing Investor.
Asante kwa Majibu mazuri mkuu.
Swali langu je uchumi wa China bado uko kwenye level hii ya State Control ?
 
Mkuu, za masiku kidogo.

Hawa wakiwa well structured basi wataweza kufanya biashat zao katika uhuru kamili bila kuona kwamba kulipa kodi ni kama kwenda kituo cha polisi.
Mkuu Richard hoja yako imeeleweka vizuri kabisa na binafsi huwa naamini sisi kama nchi tuna cha kujifunza kutoka kule Uchina. Hoja yangu ambayo nashindana na wakina bwana Mwanzi ni kwamba Uchina Ujamaa wao uko kwenye mgawanyo wa mali tu huku mfumo wa masoko ni wa Kibepari huku wakiyaacha yaamue yenyewe huku mamlaka husika zikisimamia (siyo kuzipangia) kwa ukaribu mwenendo mzima wa masoko.
 
Inakuwa katika mfumo wa Economic Planning au katika Mfumo wa State Regulation and Control mechanism?

Je China bado wako kwenye hiyo level ya Economic Planning au wako kwenye Level ya State Regulation and Control Mechanism?
They are on the latter.
 
Ndiyo mkuu mfumo huo upo mpaka leo,.....
Serikali ya Uchina inamiliki mashirika makubwa sana duniani yakiwemo mabenki.
Ok sawa hope nitaenda kumsoma vizuri Ho Fang Hun, China Boom: Why China Will Not Rule the World,
 
So tunaweza kusema wameshaondoka kwenye State Capitalism na wako kwenye market oriented economy right ?
Waweza kusema hivyo lakini tafsiri halisi ni kama alivyoeleza mkuu Lumumba.

Yaani pia uchumi wa China waweza kuitwa ni ujamaa wenye tabia za kichina yaani Socialism with Chinese Characteristics.

Ni "mixed Socialist market economy" ambapo enterprises zinamilikiwa na serikali na biashara zote za ndani na nje zote watumia mpango wa kiuchumi kutoka kwenye chama cha kikomunisti cha China.

Ndo maana nikasema somasoma kitabu cha hawa mazee Karl na Friedrich upate madini mchanganyiko.

Ukipata wasaa.
 
Asante kwa Majibu mazuri mkuu.
Swali langu je uchumi wa China bado uko kwenye level hii ya State Control ?
Bado upo kwenye State Control kwa kiwango kikubwa sana: Japo kinachofanya uchumi wake uwe ni wa tofauti na wa kipekee ni kuanzisha baadhi ya nyenzo za soko huria. Hapa tutazungumzia mambo kama umiliki binafsi wa baadhi ya nyenzo za uzalishaji na uwekezaji mkubwa wa kimataifa.
 
Ndiyo mkuu mfumo huo upo mpaka leo,.....
Serikali ya Uchina inamiliki mashirika makubwa sana duniani yakiwemo mabenki.
Ila benki zao zinazokuja huku Afrika hawaleti Capital ya kutosha.

Kuna benki yao moja imetiwa kapuni na BOT juzijuzi.
 
Waweza kusema hivyo lakini tafsiri halisi ni kama alivyoeleza mkuu Lumumba.

Yaani pia uchumi wa China waweza kuitwa ni ujamaa wenye tabia za kichina yaani Socialism with Chinese Characteristics.

Ni "mixed Socialist market economy" ambapo enterprises zinamilikiwa na serikali na biashara zote za ndani na nje zote watumia mpango wa kiuchumi kutoka kwenye chama cha kikomunisti cha China.

Ndo maana nikasema somasoma kitabu cha hawa mazee Karl na Friedrich upate madini mchanganyiko.

Ukipata wasaa.
Asante sana hope nikisoma policies za China nitapata mwanga zaidi hivi vitabu vya Karl Max nimevisoma Mara nyingi sana.

Hope nitafanya research kwenye economic laws za China nione namna gani zimeweza kuintergrate market economy vs socialist principles.
 
Back
Top Bottom