Duh...!.Nawasalimu kwa jina la Walamba Asali.
Nawakumbusha tu ile ripoti ya ukwapuaji wa mali za CCM Dr. Bashiru hajaitoa hadharani.
Albert Msando anasemaje?Ngoja tuone
kalamba uDCAlbert Msando anasemaje?
Atupatie japo nakala ya report kwa siri sanakalamba uDC
Lumumba itachafukwaAtupatie japo nakala ya report kwa siri sana
Itabidi umsitiri mzee mgaya kwenye kibanda chako cha kule Kitanzini a.k.a kita-kitaLumumba itachafukwa
Unaweza kukuta hata kale kajumba ka mzee Mgaya ni ka chama!