Dkt. Bashiru bado hajaitoa ripoti ya wizi wa mali za CCM

Katika makosa makubwa Marehemu Magufuli na Bashiru Ally walifanya ni kutoweka hadharani ile ripoti ya wezi na mafisadi yaliyomo ndani ya CCM

Sasa hivi wevi wanamparamia na wanatamba as if they saints wakati ilikuwa mijizi mikubwa isiyo na haya

Sijaelewa hadi leo ni ni vigumu kurlewa kwa nini Bashiru Ally na Magufuli walishindwa kuanika hadharani ile Ripoti

Hawakutendea haki.chsma,serikali wala wanancchi
Ripoti ile ingesaidia nchi mbeleni kupata new breed ya viongozi waadilifu.sio ku re cycle wezi hao hao wanakuwa recycled bungeni,serikalini na kwenye chama
Lakini muda ni mwalimu mzuri utaongea

Bashiru kwa hili anatakiwa kujibu kwa nini ile ripoti hakuweka public ?
 
Labda bado anayo kwenye flash, fanya namna umfikie akupatie.
 
Sihitaji kama individual iwekwe public
Mimi binafsi sielewi kabisa kwa nini waliamua iwe siri wakati maki za chama ni public
 
Nawasalimu kwa jina la Walamba Asali.

Nawakumbusha tu ile ripoti ya ukwapuaji wa mali za CCM Dkt. Bashiru hajaitoa hadharani.

Tutulie siku akitibuka mbona mtashangaa kuna wakubwa walipokonywa V8 barabarani, wengine walijimilikisha shule za chama wengine viwanja na mijumba ya maana.

Ni hayo tu kwa leo msifikiri mchezo hadi kamati kukaa na kuamua kupiga kimya maana kila anayejaribu kupayuka ana madoa doa kibao.

Dkt. Ngongo, nimekwama kutoa press release baada ya kugundua nina madudu kibao.
Na hilo ndio linawanyima usingizi CCM kwa sasa!

Mwana CCM-asali ukimtajia neno #Bashiru anaweza kuanguka chali.

Malkia wa Nyuki amelazimishwa kuwatembelea watanzania!
 
Nawasalimu kwa jina la Walamba Asali.

Nawakumbusha tu ile ripoti ya ukwapuaji wa mali za CCM Dkt. Bashiru hajaitoa hadharani.

Tutulie siku akitibuka mbona mtashangaa kuna wakubwa walipokonywa V8 barabarani, wengine walijimilikisha shule za chama wengine viwanja na mijumba ya maana.

Ni hayo tu kwa leo msifikiri mchezo hadi kamati kukaa na kuamua kupiga kimya maana kila anayejaribu kupayuka ana madoa doa kibao.

Dkt. Ngongo, nimekwama kutoa press release baada ya kugundua nina madudu kibao.
Siku ikitolewa hadharani serikali yote itaanguka kwa kishindo cha karne
 
Katika makosa makubwa Marehemu Magufuli na Bashiru Ally walifanya ni kutoweka hadharani ile ripoti ya wezi na mafisadi yaliyomo ndani ya CCM

Sasa hivi wevi wanamparamia na wanatamba as if they saints wakati ilikuwa mijizi mikubwa isiyo na haya

Sijaelewa hadi leo ni ni vigumu kurlewa kwa nini Bashiru Ally na Magufuli walishindwa kuanika hadharani ile Ripoti

Hawakutendea haki.chsma,serikali wala wanancchi
Ripoti ile ingesaidia nchi mbeleni kupata new breed ya viongozi waadilifu.sio ku re cycle wezi hao hao wanakuwa recycled bungeni,serikalini na kwenye chama
Lakini muda ni mwalimu mzuri utaongea

Bashiru kwa hili anatakiwa kujibu kwa nini ile ripoti hakuweka public ?
Shida ni kwamba wao baadae walifanya madudu. Unajua baada ya Mh Magufuli kufa kuna watu walitumia simu yake kutoa maagizo ya pesa. Na mama alivyoingia akaunda tume nayo ipo imejaa madudu matupu. Sukuma gang.
 
Watanzania kwa upumbavu hatuna mpinzani duniani.

Hivi kuna mtu anaamini bashiru atawashinda CCM kisa ana majina ya wezi wa mali za chama chakavu cha CCM?

Mimi sijafanya uchunguzi kama wa bashiru lakini ukiniambia nikutajie wezi wa mali za CCM na kila walichoiba nakutajia majina ya watu si chini ya kumi.

Tatizo la nchi hii si kuwajua wezi

Wezi wanajulikana vizuri tu.

Tatizo ni mfumo mbovu wa kuleana na kubebana unawawezesha wezi kukwepa mkono wa sheria.

Tukiondoa tatizo hili mengine yote yatakaa sawa.

Ila kutegemea ripoti ya wezi wa mali za CCM ya dokta bashiru ni zaidi ya upumbavu.
 
Ile report haitakuja kutoka hadharani! Hata akina mtetezi wa wakulima wakivujisha Clotaus Chota wataikana kuwa ni majungu sio yenyewe!

Shortly Jiwe aliamua kuitumia kama tool ya kutisha waliokuwa wanamsumbua ila kuitoa kungelipasua kampuni na pengine ni moja ya vitu vimegharimu utawala wake.

Wana kamati wa ile tume wote watatunzwa daima kunusuru Clotaus Chota a.k.a Triple C
 
Jiwe alikuwa na akili sana,hata yule Mwenyekiti wa chama cha Wafanyakazi alitishwa baada ya kujilikana anatumia jina ambalo si lake.Kila akijaribu kulalama mishahara midogo anaitwa Ikulu anatulia tuli.
 
Nawasalimu kwa jina la Walamba Asali.

Nawakumbusha tu ile ripoti ya ukwapuaji wa mali za CCM Dkt. Bashiru hajaitoa hadharani.

Tutulie siku akitibuka mbona mtashangaa kuna wakubwa walipokonywa V8 barabarani, wengine walijimilikisha shule za chama wengine viwanja na mijumba ya maana.

Ni hayo tu kwa leo msifikiri mchezo hadi kamati kukaa na kuamua kupiga kimya maana kila anayejaribu kupayuka ana madoa doa kibao.

Dkt. Ngongo, nimekwama kutoa press release baada ya kugundua nina madudu kibao.
He gonna die be for by inner voice
 
Back
Top Bottom