Dkt. Bashiru bado hajaitoa ripoti ya wizi wa mali za CCM

Dkt. Bashiru bado hajaitoa ripoti ya wizi wa mali za CCM

Nawasalimu kwa jina la Walamba Asali.

Nawakumbusha tu ile ripoti ya ukwapuaji wa mali za CCM Dkt. Bashiru hajaitoa hadharani.

Tutulie siku akitibuka mbona mtashangaa kuna wakubwa walipokonywa V8 barabarani, wengine walijimilikisha shule za chama wengine viwanja na mijumba ya maana.

Ni hayo tu kwa leo msifikiri mchezo hadi kamati kukaa na kuamua kupiga kimya maana kila anayejaribu kupayuka ana madoa doa kibao.

Dkt. Ngongo, nimekwama kutoa press release baada ya kugundua nina madudu kibao.

Na hawezi kuitoa Sasa hivi watamshughulikia.
 
Ile report haitakuja kutoka hadharani! Hata akina mtetezi wa wakulima wakivujisha Clotaus Chota wataikana kuwa ni majungu sio yenyewe!

Shortly Jiwe aliamua kuitumia kama tool ya kutisha waliokuwa wanamsumbua ila kuitoa kungelipasua kampuni na pengine ni moja ya vitu vimegharimu utawala wake.

Wana kamati wa ile tume wote watatunzwa daima kunusuru Clotaus Chota a.k.a Triple C
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Si na marehemu pia wanasema alikua na madudu kama kweli labda ndio sababu ya kuizika report wasije watuhumiwa nao wakatoa repoti yao.
 
Back
Top Bottom