Asimuangaikie Babaake mzazi amuangaikie JPm ana muhusu namna gani??"Rip magufuli. Bashiru pamoja na kusingiziwa wizi ila baadhi ya watanzania wachache tunajua bashiru alipambania sana afya ya jpm.
Nyie hamuwezi kuelewa mnawaza figisu za kisiasa.ila ipo siku mtajua ni kiasi gani alimuangaikia jpm. Bashiru ni mtu royal sana.
Bashiru hicho kidogo ulichokifanya Mungu akubariki.zile rimot control usingefanya zaidi ya hapo.wachache tu ndo tunatambua msaada yako.Mungu akulinde"
Alisikika mtu mmoja akitamka maneno haya.
Royal ndiyo nini mkuu,umeniacha hapo"Rip magufuli. Bashiru pamoja na kusingiziwa wizi ila baadhi ya watanzania wachache tunajua bashiru alipambania sana afya ya jpm.
Nyie hamuwezi kuelewa mnawaza figisu za kisiasa.ila ipo siku mtajua ni kiasi gani alimuangaikia jpm. Bashiru ni mtu royal sana.
Bashiru hicho kidogo ulichokifanya Mungu akubariki.zile rimot control usingefanya zaidi ya hapo.wachache tu ndo tunatambua msaada yako.Mungu akulinde"
Alisikika mtu mmoja akitamka maneno haya.
Hakuna riport kutoka BOT itakayo muona Bashiru mbadhilifu wa chochote!Ngoja report kutoka BOT ndio uje kubwabwaja huo uharo wako.
Halafu hii ni tabia mbaya sana kuiendekeza na hatuwezi kuwa na taifa la namna hii. Kwamba leo hii Bashiru na Polepole waonekane si wa maana tena eti kisa hawana mamlaka waliyokuwa nayo katika CCM. Heshima ya mtu katika nchi, dunia, au na hata familia hazitegemei misingi ya nani mwenye cheo kikubwa au pesa nyingi kuliko mwingine kwa wakati fulani. Ingekuwa hivyo basi wazazi wetu waliotuzaa na kutusomesha basi leo hii hawana nafasi tena au hawana lolote la maana eti kisa tumeshawazidi kipato na vyeo baadaye! Huu ni utoto.Wakati mwingine ukifikiria sana siasa utagundua ni ubatili mtupu yaani ni bora umrejee muumba wako.
Yaani leo hii ndio kusema maswali ya Dr Bashiru na komredi Polepole yanaenda kujibiwa na akina Gekui, Waitara, Silinde, Katambi na Dr Mollel kule bungeni?
Kwamba, David Silinde ana mfuko wa Jimbo lakini Bashiru na Polepole hawana?!!!
Jamani mwacheni Mungu na aitwe Mungu.
Kazi Iendelee!
Nimeuelewa mguu huo [emoji38][emoji38]Alimuhangaikia kwa njaa na maslai yake binafsi,sasa alishajua mungu Kayafa akifa yatamkuta haya yanayomkuta sasa hiviView attachment 1769556
Unaweza kukuta Polepole anahamia Chadema na kupokelewa kwa shangwe!Inaumiza sana, alafu unaweza kukuta Silinde anampandishia kibesi Slowslow.
Mungu ni fundi bana.
Bashiru na Polepole ni wabunge wa viti maalumu!Bashiru na Polepole" Ni wabunge wa KUTEULIWA na RAIS " na Sio wabunge wa viti Maalum.Ubunge wa viti Maalum wanapewa jinsia ya kike TU.Lakini wabunge wa KUTEULIWA na RAIS ANAWEZA akawa wa jinsia yoyote(Mwanamke au Mwanaume)
Kumbe yawezekana unachuki dhidi yao!Bashiru na Polepole ni wabunge wa viti maalumu!
Jmani mimi nimeuliza sana bila kupata jibu labda wewe mkuu una jibu: Kwanini Dr Bashiru anaandamwa sana hasa sasa hivi wakati sijawahi kuona ubaya wake ukiinganisha na wanasiasa wengi tu? Kwangu mimi yeye ni mmoja wa viongozi wazuri wa CCM. Anawapita wengi tu.unajiletea kansa tu na umaskini wako wa kurithi hauondoki,
Kwamba alipambania Sana kuliko mke na watoto wake na kuliko yeye mwenyewe? [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] Very funny,tufanye ndio hivyo lazima apambanie afya ya bwanake maana ndio alimpa kula."Rip magufuli. Bashiru pamoja na kusingiziwa wizi ila baadhi ya watanzania wachache tunajua bashiru alipambania sana afya ya jpm.
Nyie hamuwezi kuelewa mnawaza figisu za kisiasa.ila ipo siku mtajua ni kiasi gani alimuangaikia jpm. Bashiru ni mtu loyal sana.
Bashiru hicho kidogo ulichokifanya Mungu akubariki.zile rimot control usingefanya zaidi ya hapo.wachache tu ndo tunatambua msaada yako.Mungu akulinde"
Alisikika mtu mmoja akitamka maneno haya.
Kwani kuwa viti maalumu ni dhambi?Kumbe yawezekana unachuki dhidi yao!
Nimekuelewa bwashee!Siasa zinafundisha mambo mengi sana. Baada ya JPM kutangazwa kuwa ameshalala usingizi wa milele, ukawa ndio mwanzo wa maisha mapya kwa watu wengi.
Wale waliokuwa wakiishi kiungwana bila kutaka kunyenyekewa waliendelea kupeta ndani ya mioyo yao wakiwa hawana sababu ya kuishi wakitegemea fadhila za Rais Samia.
Wale waliokuwa miungu watu maofisini mwao wakibebwa na jeuri waliyopewa na Hayati wakaanza kuwa wanyonge na wadogo sana mawazoni mwao.
Nilikuwa namwangalia Bashiru Ally mle ukumbini namna anavyojaribu kuwa sehemu ya furaha iliyokuwepo muda ule na mahali pale, alikuwa mnyonge sana nikakumbuka siku ile alipotukana wazee akitumia neno mpumbavu zaidi ya mara mbili kwa kujiamini kabisa.
Polepole kama kawaida anaongea kwa hamasa kubwa akisema ng'ara Samia ng'ara halafu baadae kidogo kwa unyonge analitaja jina la Saka Hamdu. Maisha yamejaa mafundisho.
Na Mungu kwa ufundi wake wa uumbaji hatupi hata dalili ya kutuonyesha ni lini itakuwa siku ya kuanza kupata funzo jipya, unaweza kulipata ukiwa kijana wa miaka 25 unaweza kulipata ukiwa mzee unayekaribia miaka 65.
Jmani mimi nimeuliza sana bila kupata jibu labda wewe mkuu una jibu: Kwanini Dr Bashiru anaandamwa sana hasa sasa hivi wakati sijawahi kuona ubaya wake ukiinganisha na wanasiasa wengi tu? Kwangu mimi yeye ni mmoja wa viongozi wazuri wa CCM. Anawapita wengi tu.
Siku moja tujue alipambania afya ya Magu ili itusaidie nini..wakati sisi tulikuwa tunataka afe..na amekufa!"Rip magufuli. Bashiru pamoja na kusingiziwa wizi ila baadhi ya watanzania wachache tunajua bashiru alipambania sana afya ya jpm.
Nyie hamuwezi kuelewa mnawaza figisu za kisiasa.ila ipo siku mtajua ni kiasi gani alimuangaikia jpm. Bashiru ni mtu loyal sana.
Bashiru hicho kidogo ulichokifanya Mungu akubariki.zile rimot control usingefanya zaidi ya hapo.wachache tu ndo tunatambua msaada yako.Mungu akulinde"
Alisikika mtu mmoja akitamka maneno haya.