Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Noana mzigo wa mwezi April haujaingia, yetu machoWakati mwingine ukifikiria sana siasa utagundua ni ubatili mtupu yaani ni bora umrejee muumba wako.
Yaani leo hii ndio kusema maswali ya Dr Bashiru na komredi Polepole yanaenda kujibiwa na akina Gekui, Waitara, Silinde, Katambi na Dr Mollel kule bungeni?
Kwamba, David Silinde ana mfuko wa Jimbo lakini Bashiru na Polepole hawana?!!!
Jamani mwacheni Mungu na aitwe Mungu.
Kazi Iendelee!