Dkt. Bashiru na Polepole sasa ni wabunge wa kuteuliwa, David Silinde na Katambi ni Mawaziri

Kwani Bashiru alikuwa Doctor (MD) wa Magufuli ?
 
Mkuu maneno na matendo yao wakati walipokuwa na madaraka ndani ya Chama yalilenga kumfurahisha mwendazake na siyo CCM. Walitengeneza makundi wenyewe ambapo ukiwa nje ya kundi lao basi wewe lazima uumizwe. Sasa kundi lingine limeingia madarakani ni zamu yao kuumizwa. Hapo ndipo patamu na ndiyo watu wanashangilia.

Hawa Jamaa walikuwa na nyodo sana wasiojua kuchunga ndimi zao. Walifikiri maisha yale yangeendelea. Kibaya zaidi wao ndo waliokuwa madalali wa kuwanunua hao wenye nyazifa kwa sasa toka Upinzani.
 
CCM vipande vipande
Hakuna vipande vipande, polepole, bashiru, wameibuka tu CCM, hawana mizizi wala misingi ndani ya chama, kwa hiyo wanadondoka hata kwa upepo tu, si kimbunga, ila wenyewe walijiona wamefika hasa bashiru, alipokuwa cuf aliweza kuelezea haki vizuri, amekuja CCM anaiba kura, ni mjinga tu! Sasa ubunge wa viti maalumu halafu hatumiki wa nini? Kina mulamula wameteuliwa kwa kazi maalumu!
 
Wew ni chizi ila hujijui
 
Ambaye ni Taga
 
Kama huna ramani ya unapoenda huwezi sema umepotea, huo ndio mzunguko wa maisha na kila mmoja ana mzunguko wake, Wameshajenga Profile zao, wamepata uzoefu na ujuzi mwingi. na itawasaidia sana kufanya mambo makubwa ktk maisha Yao, hawajapoteza lolote bali wamefaidika sana
 

mkuu Bashiru hana hizo tuhuma ulizotaja. At least anza kumwomba Mungu wako
 
Siyo mimi mkuu, ulikua unamjibu Mtu, nkakuona ulivyo paniki, nkaona nikushauri, ujitulize!

unapaswa kuwa nabii basi!

unakimbiwa na kila mtu mpaka na mbwa wako kwa kuwa judgemental....

haukuwa sahihi
 
Leo acha nikupe like ya maneno
 
Je,

Kipindi cha Polepole LIVE kinaendelea?
 
Mkuu Phillipo Bukililo pata kongole nyingi kwa hili andiko lako la leo. Liko balanced na lina mafundisho kwa wengi
 
Mzee wa V eight.

Acha nao wachungulie kwa mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…