Dkt. Bashiru na Polepole sasa ni wabunge wa kuteuliwa, David Silinde na Katambi ni Mawaziri

walitumia nguvu nyingi sana kumwabudu mwendazake ni wapuuzi, yan pamoja na lipaulo ni wapumbavu wakutupwa
Bashiru alidhani kafika hata mwondoko ukawa mpya.
Alijisahau kwa kasi kubwa sana
Kwake JIWE ikawa ndio wimbo uliyo bora, DOLA ikawa TUMAINI kuu la kujivunia badala ya kuhuisha maisha ya watanzania.
Hata hivyo, kwa haya yote, Mungu mwenye upendo kamsaidia aweze kujitafakari ajifunze ili aanze upya, AKUE.
Aliyekuwa mungu kwao, Mwendazake, hakujaaliwa kupata fursa hiyo, kaishia kwenda na mamizigo yake.
 
Unaonaje nawe upatiwe viti maalum ukajiunge na shosti yako Halima Mdee?
 
Nilisha kwambia toka mwanzo kuwa Bashiru atafukuzwa kazi kutoka ikulu maana hana sifa ya kuishi maisha ya ikulu.

Naona sasa akili yako inazidi kukutesa unafikia hata kubishana na lumumba wenzako.

Bashiru hakustahili kukanyaga ikulu.
 
Kwa kweli tunawachukia Sana. Ni watu waliojitoa akili zao kumwabudu Mwendazake. Wacha tuwachambe roho zetu zifurahi
Mimi kwangu hao watu ni maadui wa siasa za kistaarabu hapa Tanzania tangu tupate uhuru.
 
Hakuna lolote eti alimuhangaikia, kwani yeye ni Mungu?
 
Kumbe alipambania afya ya mtu aliyekuwa akitutesa?
Kwa lugha nyepesi alikuwa akipambania ugali wake... Apambane na hali yake

Tangu chifu ameanguka hatujasikia tena utekaji, mauaji ya kisiasa, wafungwa wa kisiasa, kubambikia watu kesi na mambo mengine ya Hovyohovyo.
 
Walitutesa sana hawa majamaa na kama ingekuwa ni maamuzi yangu hawa wangekuwa jela kabisa.
 
Yaani leo hii ndio kusema maswali ya Dr Bashiru na komredi Polepole yanaenda kujibiwa na akina Gekui, Waitara, Silinde, Katambi na Dr Mollel kule bungeni?
Halafu wote wawili ndio waliendesha lile zoezi la kuwarubuni 'makaka poa'.
 
Ngoja report kutoka BOT ndio uje kubwabwaja huo uharo wako.
Huyu anaendekeza sana ukabira kwa kuwa Bashiru ni ndugu yake basi kila kukicha ni kumsafisha Bashiru wakati hasafishiki.
 
Kwani huna taarifa kuwa Bashiru kapiga hela ndefu pale BOT?
Eti ana uchungu na pesa za umma pumbavu kabisa
 
Tangu nikiwa mtoto mdogo mzee wangu alikuwa ana insist kwamba hata siku moja nisipuuzie masuala ya siasa kwa kuwa zinahusika sana katika kuzalisha baadhi ya viongozi ambao ni waadirifu na baadhi ya viongozi wengine ambao ni madikteita na wakatiri wa kutupwa.

Karudia kunikumbusha kwa mara nyingine tena kwamba mwanangu hata siku moja wewe na familia yako msipuuzie kwenda kupiga kura kwa imani kwamba hayo haya wahusu - yana wahusu sana sana - siasa ndio kila kitu hasikudanganye mtu.
 
Bashiru na Polepole" Ni wabunge wa KUTEULIWA na RAIS " na Sio wabunge wa viti Maalum.Ubunge wa viti Maalum wanapewa jinsia ya kike TU.Lakini wabunge wa KUTEULIWA na RAIS ANAWEZA akawa wa jinsia yoyote(Mwanamke au Mwanaume)
Vp kuhusu mfuko wa Jimbo wanapewa?
 
Unaonaje nawe upatiwe viti maalum ukajiunge na shosti yako Halima Mdee?
Boss wako Suleiman Methew amesharudi nyumbani na wewe nilishakueleza kadi yako ya CCM iko tawi la chama hapo Nanguruwe!
 
Kuna wakati huwa nawaza
Pengine mwendazake alijiona siku zake zinakaribia akaona bora hao watu wawili awateue kuwa wabunge nafasi ambayo hawawezi kupokonywa kirahisi maana nafasi walizokuwa nazo za kichama lazima wangepokonywa ukizingatia sio ccm asilia na walikuwa against ccm asilia

Nawaza tu
 
Hakuna chuki kila habari na mafundisho yake hata bandiko hili ni funzo kwako na wengine kuwa cheo ni dhamana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…