Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Noana mzigo wa mwezi April haujaingia, yetu machoWakati mwingine ukifikiria sana siasa utagundua ni ubatili mtupu yaani ni bora umrejee muumba wako.
Yaani leo hii ndio kusema maswali ya Dr Bashiru na komredi Polepole yanaenda kujibiwa na akina Gekui, Waitara, Silinde, Katambi na Dr Mollel kule bungeni?
Kwamba, David Silinde ana mfuko wa Jimbo lakini Bashiru na Polepole hawana?!!!
Jamani mwacheni Mungu na aitwe Mungu.
Kazi Iendelee!
Inafikirisha bwashee!Kuna wakati huwa nawaza
Pengine mwendazake alijiona siku zake zinakaribia akaona bora hao watu wawili awateue kuwa wabunge nafasi ambayo hawawezi kupokonywa kirahisi maana nafasi walizokuwa nazo za kichama lazima wangepokonywa ukizingatia sio ccm asilia na walikuwa against ccm asilia
Nawaza tu
Hawafai hata kuwepo bungeni
Wanatamani afufuke hao wapuuzi wakubwa mashetani kabisaKuna wakati huwa nawaza
Pengine mwendazake alijiona siku zake zinakaribia akaona bora hao watu wawili awateue kuwa wabunge nafasi ambayo hawawezi kupokonywa kirahisi maana nafasi walizokuwa nazo za kichama lazima wangepokonywa ukizingatia sio ccm asilia na walikuwa against ccm asilia
Nawaza tu
Hakika mkuu.Hakuna chuki kila habari na mafundisho yake hata bandiko hili ni funzo kwako na wengine kuwa cheo ni dhamana.
Leo ni Mei 1 mzigo badoInafikirisha bwashee!
Lakini Dr Bashiru ameteuliwa na mama.
Bashiru alidhani kafika hata mwondoko ukawa mpya.
Alijisahau kwa kasi kubwa sana
Kwake JIWE ikawa ndio wimbo uliyo bora, DOLA ikawa TUMAINI kuu la kujivunia badala ya kuhuisha maisha ya watanzania.
Hata hivyo, kwa haya yote, Mungu mwenye upendo kamsaidia aweze kujitafakari ajifunze ili aanze upya, AKUE.
Aliyekuwa mungu kwao, Mwendazake, hakujaaliwa kupata fursa hiyo, kaishia kwenda na mamizigo yake.
Bilionea Nyalandu kaondoka bila kulipa mishahara staff wa Ufipa.Leo ni Mei 1 mzigo bado
Jaribu kuipima akili yako wewe babuBoss wako Suleiman Methew amesharudi nyumbani na wewe nilishakueleza kadi yako ya CCM iko tawi la chama hapo Nanguruwe!
Tetetete, wakulipe aseeBilionea Nyalandu kaondoka bila kulipa mishahara staff wa Ufipa.
Sema tu Bilionea Sugu wa jijini Mbeya amekubali kuokoa jahazi!
Kwa bashiru naongelea KMK pengine mwendazake aliwaza kwakuwa sio cheo cha kichama pengine angekuwa salama lakini mama akafanya yakeInafikirisha bwashee!
Lakini Dr Bashiru ameteuliwa na mama.
Kwani kumwambia jamaa ana Kansa na atakufa masikini hukimbiwi na mbwa wako kwa kuwa judgemetal?!unapaswa kuwa nabii basi!
unakimbiwa na kila mtu mpaka na mbwa wako kwa kuwa judgemental....
haukuwa sahihi
Wanasema usitukane wakunga.....Mkuu Phillipo Bukililo pata kongole nyingi kwa hili andiko lako la leo. Liko balanced na lina mafundisho kwa wengi
Rais SSH ameonyesha ustaarabu wa namna ya ku deal na mtu ambaye hamuendani kimtazamo. Ingekuwa ni Mwendazake angeweza kumtumia WASIOJULIKANA wakamalizana nayeInafikirisha bwashee!
Lakini Dr Bashiru ameteuliwa na mama.
Ebu rudia kusoma ulicho andika hapa,majibu jibu yako yanadhilisha wazi wazi kwamba aidha elimu yako ni dismal au haujastaarabika au yote mawili.Ngoja report kutoka BOT ndio uje kubwabwaja huo uharo wako.
Kwendraaaa una akili fupi wewe unajua nini maana ya kuongoza nchi wewe?Kumbe alipambania afya ya mtu aliyekuwa akitutesa?
Kwa lugha nyepesi alikuwa akipambania ugali wake... Apambane na hali yake
Tangu chifu ameanguka hatujasikia tena utekaji, mauaji ya kisiasa, wafungwa wa kisiasa, kubambikia watu kesi na mambo mengine ya Hovyohovyo.
Wewe unajua nini zaidi ya kushabikia mauaji na kubambikia watu kesi?Kwendraaaa una akili fupi wewe unajua nini maana ya kuongoza nchi wewe?
Kila mtu abebe mzigo wake. Kama unaamini katika mungu acha alieuwa ahukumiwe kwa mugu.mm sikushuhudia mtu akiua.lakini kama aliua dhambi hiyo haitamuacha salama.Wewe unajua nini zaidi ya kushabikia mauaji na kubambikia watu kesi?