Dkt. Bashiru: Tundu Lissu anaumwa 'Ugonjwa wa Deko'

Mhadhiri na mfatiti chuo kikuu UDSM amevumbua kama si kugundua aina mpya ya Ugonjwa unaitwa DEKO. Hongereni sana chuo kikuu chetu pendwa
 
Mhadhiri na mfatiti chuo kikuu UDSM amevumbua kama si kugundua aina mpya ya Ugonjwa unaitwa DEKO. Hongereni sana chuo kikuu chetu pendwa
Lisu ana degree ya kudeka
 
Anaenda USA kudeka tena
 
Natamani kusikia tena kauli za katoka kwa katibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally baada kurejea kwa Tundu Lissu hapa nchini

Dkt. Bashiru Ally kwa nyakati tofauti aliwahi kumkejeli Tundu Lissu kuwa, hakuwa anauguza majeraha ya risasi bali alikuwa anaumwa ugonjwa wa deko

Pamoja hilo Bashiru alisema kuna Watanzania wanaugua ugonjwa ugonjwa unaoitwa 'Tundu Lissu'. Kwa kuwa Katibu Mkuu huyo wa CCM ndiyo pekee mwenye ujasiri wa kutamka hata jina la Tundu Lissu natamani kusikia hoja kinzani hasa baada siku mbili za makombora ya mgombea wa Urais kupitia CHADEMA

Sina kumbukumbu ni lini na wapi Rais Magufuli mgombea wa CCM ama Polepole mwenezi wake walishawahi kutamka jina la Tundu Lissu pamoja na kuwa vitendo na kauli zao huonyesha kukerwa na hoja za mwasheria huyo nguli duniani

Dkt. Bashiru jitokeze mapema uokoe jahazi kabla kimbunga hakijaanza. Yawezekana kabisa ugonjwa wa deko ukatia mchanga kitumbua chako
 
Thubutuuuu , akitokea tu atapigwa spana mpk basi
 
Waambieni Mabeberu ile mbinu yao waliyo mpa Lissu ya kubwabwaja maneno ili ajibiwe kwa maneno imegonga mwamba Atajibiwa kwa vitendo.
 
Mwanasheria nguli wa Acacia
 
Ameambulia kipigo cha mbwa koko
 
"Dr. Bashiru Mwizi tu huyo, kanajifanya kazalendo kumbe wapi", alisikika kichaa mmoja akizungumza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…