ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,381
- 4,588
Mmmmh ! 😳Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.
Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako.
Jambo unalotakiwa kulizingatia sana sana: wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine, kama walivyomtafuta Mkapa ili kuwapata wengine.
Mzee, kuwa makini sana — ukijiachia tu, hatutakuwa nawewe kabla ya Oktoba.
Gari lako ulipoliegesha: vinywaji na chakula, migusano, n.k.
Ndugai mpaka kufikia juzi alikuwa mzima wa afya.
Uhai wake umekatishwa alipofika tu Dodoma.
Duh 🙄 !Wahuni aka wana mtandao ni balaa!! Polepole kawachochea kuni mbichi sasa wanahaha wanapita na yeyote.
Uzalendo gani ...?? kipindi cha JPM hawa walikuwa zaidi ya Ibilisi...Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.
Sa km mnayajua haya Kwann mko tayari kutesa ,kutoa roho wengine kabla ya muda wao sbb ya madaraka au pesa?Kwani kuna atakayebaki huku duniani?
Watu wanajizima data snUzalendo gani ...?? kipindi cha JPM hawa walikuwa zaidi ya Ibilisi...
Hawa Wash3nzi sasa hivi wanatumia ile sumu waliyomuulia DK. Omar, dakika sifuri tu unapotea.Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.
Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako.
Jambo unalotakiwa kulizingatia sana sana: wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine, kama walivyomtafuta Mkapa ili kuwapata wengine.
Mzee, kuwa makini sana — ukijiachia tu, hatutakuwa nawewe kabla ya Oktoba.
Gari lako ulipoliegesha: vinywaji na chakula, migusano, n.k.
Ndugai mpaka kufikia juzi alikuwa mzima wa afya.
Uhai wake umekatishwa alipofika tu Dodoma.
Na kweliWanadai wahuni hawafi
Umeelewa nilichokueleza au umeweka mbichwa wako kama korosho mbovu tu?Kwahiyo hakupaswa kufa? Acha ujinga na wewe
Ramli chonganishi,Bashiru aisha maliza ubunge wa kuteuliwa atarudi kuwa mwalimu pale mlimani,hana makuu wala hawazi V8.Drama mongering
Waulize wanaotesana na kutoana rohoSa km mnayajua haya Kwann mko tayari kutesa ,kutoa roho wengine kabla ya muda wao sbb ya madaraka au pesa?
Unafikiri wanaoshangilia hawajui km wataondoka?
Huyu Bashiru mbona alishajifia muda tu? Huyu ni dead snake zama zake zimeisha amewaachia ccm legacy ya unoko wa control number tu kupunguza ulaji wa asset na miradi ya ya ccm, ni kupunguza tu siyo kukomesha.Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.
Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako.
Jambo unalotakiwa kulizingatia sana sana: wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine, kama walivyomtafuta Mkapa ili kuwapata wengine.
Mzee, kuwa makini sana — ukijiachia tu, hatutakuwa nawewe kabla ya Oktoba.
Gari lako ulipoliegesha: vinywaji na chakula, migusano, n.k.
Ndugai mpaka kufikia juzi alikuwa mzima wa afya.
Uhai wake umekatishwa alipofika tu Dodoma.
Ndio maana mimi naona Polepole ni kama ananipigia kelele tu na press zake.Uzalendo gani ...?? kipindi cha JPM hawa walikuwa zaidi ya Ibilisi...