Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: UVCCM jibuni hoja za wapinzani bila kuchelewa, ni marufuku waliopita bila kupingwa kwenda mikoa mingine kupiga kampeni

Leo mumemuona Hussein Ali Hassan Mwinyi walivomkimbia msikitini. Basi hiyo ni Ishara ya kipigo kijacho. Niliposoma hii nakala kuhusu Bashiru, roho yangu nilifurahi sana maana inaonyesha namna CCM wanavohangaika wakijua kuwa jitihada zao kuwazima wapinzani zimegonga mwamba. Hii ni uhakika kabisa kuwa wakati unakuja watakimbia kujificha na hakuna pa kujificha.
 
CDM ukiachana na matusi na kauli za uchochezi wana hoja gani nyingine ambayo hata darasa la pili hawezi kuijibu??
Herode,

Mzee wa Mifadhaiko alipoona mhanga wa Risasi ni mzima yuko Nairobi akatuma watu(kina Samia)
Mhanga yule akarudi, wakaanza kuweweseka, imekuwaje risasi 16 zishindwe wakati 3 huwa zinamaliza kila kitu?
 
Kwahiyo una wabunge wa viti maalum kina nape makamba majaliwa wamo ktk sistim ya bao LA mkono
 
Amemwambia asije akamuona nje ya jimbo lake ni baada ya kumuona nape akijipitisha kwa Kikwete unajua CCM wameshakuwa hawaaminiani tena,inakuwaje nape anakuwa na Kikwete kila wakati na baada ya hapo ghafla ikaonekana Kikwete amerukia kampeni,kuna nini CCM mbona mnaogopana.

Mwaka huu mnachopanda hakioti na kikiota kitakufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…