Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Hebu chukua madogo kama 400 hivi walipe buku 7 zao waje niwatawanye kwa hoja chache sana za Lissu.Madogo wapo wa kutosha kabisa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu chukua madogo kama 400 hivi walipe buku 7 zao waje niwatawanye kwa hoja chache sana za Lissu.Madogo wapo wa kutosha kabisa!
Aisee amkeni CCM wameshapoteana huku 🤣
Sasa spana kama zile za Mama Maria Nyerere hao Uvccm watajibu nini labda kwa mfano?
joined 22 april 2020CDM ukiachana na matusi na kauli za uchochezi wana hoja gani nyingine ambayo hata darasa la pili hawezi kuijibu??
Herode,CDM ukiachana na matusi na kauli za uchochezi wana hoja gani nyingine ambayo hata darasa la pili hawezi kuijibu??
Yupo samiha ataijibu ile ya risasi 16 maana kashasema askari wa ccm hawakoseiHivi kuna kijana uvccm wa kujibu hoja zetu ?
Kwahiyo mwenye hoja ni yule anae tisha wapiga kura ktk kampeniCDM ukiachana na matusi na kauli za uchochezi wana hoja gani nyingine ambayo hata darasa la pili hawezi kuijibu??
Kamuulize Bashiru aliyeagiza zijibiwe.CDM ukiachana na matusi na kauli za uchochezi wana hoja gani nyingine ambayo hata darasa la pili hawezi kuijibu??
Hao madogo mmewapa cha kujibu? Maana kama baba enu kapoteana itakuwa nyie vidampa?Madogo wapo wa kutosha kabisa!
Mkuu swala si uwepo wa madogo, bali namna ya kutetea makosa yaliyo dhahiri.Madogo wapo wa kutosha kabisa!