We umeona mbali sana mkuuKeshanusa rufaa za upinzani labda watarejeshwa kwenye kinyanganyiro
Kwanza wapo?? Naona kimya.Hivi kuna kijana uvccm wa kujibu hoja zetu ?
Wanssema Chadema tuko mitandaoni mbona na yeye anawatuma waende mitandaoni?? Infact tumewapiga pande zote huku mitandaoni tumeshapiga 3-0, huku field ndio usiseme.
Dr Bashiru amesema ni marufuku wagombea waliopita bila kupingwa kwenda mikoa mingine kufanya kampeni bali wabakie kwenye mikoa yao.
Dkt. Bashiru amemtaja mbunge mmoja aliyepitishwa bila kupingwa Lindi lakini sasa yuko Mwanza anafanya kampeni na kumtaka kurudi Lindi mara moja akawasaidie wenzie jimboni kwake.
Wakati huo huo Dkt. Bashiru amewataka vijana wa UVCCM kujibu hoja za wapinzani pale pale zinapotolewa bila kuchelewa kwani uongo usipojibiwa unaweza kuaminika.
Maendeleo hayana vyama!
Soshooo distanzingi
Subiri baada ya Oct 28 huwezi amini macho na masikio yakoTundu Lissu kawashika MATAGA kunako hakiyanani!
Labda mutushinde kwa kuteka na kuua ndiyo kazi yenuSubiri baada ya Oct 28 huwezi amini macho na masikio yako
Wanasema - Mapya yaliyofanywa na JPM ni ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa Chato kwa ajili yake na mama yake wakati wa Christmas na Pasaka! Hili tunalijibu vipi, hapa kuna mi-Chadema inanisumbua, nisaidie jibu!CDM ukiachana na matusi na kauli za uchochezi wana hoja gani nyingine ambayo hata darasa la pili hawezi kuijibu?
Dr Bashiru amesema ni marufuku wagombea waliopita bila kupingwa kwenda mikoa mingine kufanya kampeni bali wabakie kwenye mikoa yao.
Dkt. Bashiru amemtaja mbunge mmoja aliyepitishwa bila kupingwa Lindi lakini sasa yuko Mwanza anafanya kampeni na kumtaka kurudi Lindi mara moja akawasaidie wenzie jimboni kwake.
Wakati huo huo Dkt. Bashiru amewataka vijana wa UVCCM kujibu hoja za wapinzani pale pale zinapotolewa bila kuchelewa kwani uongo usipojibiwa unaweza kuaminika.
Maendeleo hayana vyama!
MacarlionTundu Lissu kawashika MATAGA kunako!
Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako hakiyanani!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1536][emoji1536][emoji1536]Sasa hii ya JPM kumpigia kampeni Wenje, UVCCM wataijibu vipi kwa mfano? [emoji16]
CCM inapitia kipindi kigumu, makada wamechanganyikiwa wanapoteana vibaya mnoAisee amkeni CCM wameshapoteana huku [emoji1787]
Sasa spana kama zile za Mama Maria Nyerere hao Uvccm watajibu nini labda kwa mfano??
Sasa hii ya JPM kumpigia kampeni Wenje, UVCCM wataijibu vipi kwa mfano? [emoji16]
Hapa wataanzaje kwa mfano?Aisee amkeni CCM wameshapoteana huku [emoji1787]
Sasa spana kama zile za Mama Maria Nyerere hao Uvccm watajibu nini labda kwa mfano??
Haya ubarikiwe kwa mtazamo wako hasiLabda mutushinde kwa kuteka na kuua ndiyo kazi yenu
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Sasa hii ya JPM kumpigia kampeni Wenje, UVCCM wataijibu vipi kwa mfano? [emoji16]