Hawamuwezi Mh. Lissu kwa hoja lakini wataona vioja mwaka huu. Bashiru tumeambiwa amekwisha funga mitambo ya ushindi kumbe vile ni mitambo ya kupitisha watu wao bila kupingwa kwa hila. Nawaonya NEC na ZEC ifikapo kesho kutwa kama hawajarudisha majina ya wagombea wa upinzani basi wajuwe na wao wamo hatarini.