Dkt. Charles Kimei anza kupiga 'jaramba', huenda muda wowote ukamrithi aliyeleta tozo za ovyo

The big issue here KUTUVUSHA tumekwama

Wachaga nawaaminia kwanza watamcheka wezake mana wakowengi sana waliosoma hivyo atatusaidia kwakuogopwa kuchekwa na wachaga wezake wasomi

Singida huko wamesoma shule watatu tu Lisu,mwigulu na kitila

Kati yao Lisu ndo alielewa katika kusomakwao


Nibishe kwarekodi
 
Hakuna ubaya,wakati mwingine,kuota ndoto mchana

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo ni kama samaki mjanja kupewa chambo kumbe ni ndoana anase amalizwe kisiasa na mbio zake za kuutaka urais zififie. Ila huyu jamaa ni smart kuwa rais, maana ni mbabembabe, tz anatakiwa rais mbabe kama yule mkulu aliyetwaliwa miezi michache iliyopita
 
Duh,

Akiapishwa Waziri mwingine tafadhali naomba sana mnishutue nijipange kurejea Tz, kwa Sasa nipo Mkoa wa Gitega huku Burundi nimefika Jana jioni. Kwa Sasa huku najulikana kwa majina ya Mrugamba Ntahondi Ntibantunganya.
 
 
Alisikika kichaa mmoja akiongea ukweli akiwa na beg lake aliotaka kwenda nalo Burundi huku akila miwa kwa uchungu hapo Mdaula
 
Waziri wa fedha atokane nje yawaliomo bungeni kwa masilahi mapana ya nchi
 
Dr Kimei hakuipaisha CRDB zaidi ya kuzungusha pesa ya serikali deposited na kuwapaisha wachaga. Tuna watu wengi wachumi wazuri Rais asikurupuke kumtoa Mwigulu lakini Kumteua Kimei shida Wachaga hawana rekodi nzuri na Taasisi za fedha ikiwemo BOT na wizara ya fedha.
 
Dah....
GENTA Uongo Factory

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
 
Mashambulizi mengine kwa Mwigulu, yanakuzwa makusudi kwa sababu there are people who want their son to command our treasury, finance and planning.
 
Hapa inabidi tu mama awe makini. Kila kiongozi atakayekuwepo wizara ya fedha atakashfiwa, atatukanwa na makosa yake madogo ya kisera na kiutendaji yatakuzwa sana kwa sababu kuna watu wamejipanga kwamba bila mtoto wao kuwepo pale au PM basi wizara na hivyo serikali nzima haitatulia. The ideal leader to them is their son or daughter only.
 
Reactions: tyc
Halafu watanzania wengine wanavyotumia akili zao kidogo wanaamini kwamba hizo tozo zimeletwa na Mwigulu peke yake. Tuache kumuonea kijana wa watu. Kabla bill yoyote haijafika bungeni, lazima ipite kwenye baraza la mawaziri. Sasa mnataka Mwigulu Lameck awajibike peke yake? Na sio kosa kuleta proposal yenye nia njema. It is like a missed target but tried. Yaani tugome sisi kukatwa, awajibishwe Mwigulu? Serikali nzima ilibariki tozo na bunge likapokea na mdio maana ilitoka kwenye GN iliyosainiwa na Katibu Mkuu Kiongozi.
Mwigulu usikubali kuonewa, kuna watu wanamtafutia kijana wao kazi hazina ili awe uchochoro na ndio wengi wao wanaongoza kwa kukushambulia.
 
Hahah mkuu tathmini yako siyo poa!

Kwamba Singida nzima aliesoma na kuelewa ni Lissu tu?
 
Afazali hujaenda UHUTUNI ... lilikua suala la mda tu. Jammaa kapewa na kuongezewa kamba ndefu akazani ni ya kufungia Punda kitoweo. Kumbe urefu wake ni toshelezi kujinyonga. Fait accompli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…