Dkt. Charles Kimei anza kupiga 'jaramba', huenda muda wowote ukamrithi aliyeleta tozo za ovyo

Dkt. Charles Kimei anza kupiga 'jaramba', huenda muda wowote ukamrithi aliyeleta tozo za ovyo

Watu wa Kanda ile rais awe makini tunakumbuka vyema walichotufanyia akina Mramba,Daniel Yona,Mtei,Msuya nk.
 
The big issue here KUTUVUSHA tumekwama

Wachaga nawaaminia kwanza watamcheka wezake mana wakowengi sana waliosoma hivyo atatusaidia kwakuogopwa kuchekwa na wachaga wezake wasomi

Singida huko wamesoma shule watatu tu Lisu,mwigulu na kitila

Kati yao Lisu ndo alielewa katika kusomakwao


Nibishe kwarekodi
Dah! 😅😅😅😅😅hizi data kiboko na Dr Gwajima je?
 
Ni mtu poa, alikua reserve wa JPM huyu.
Uko sahihi sana ( yaani 100% ) kwani na nilichoambiwa na Chanzo changu muhimu kutoka 'Makao Msaada Kontena' kinasema kuwa Hayati JPM ilikuwa amteue kuwa hapo alipo sasa Waziri Msomi Mpuuzi baada tu ya Bunge la Bajeti Kumalizika mwaka huu na kumbe hata 'Mama' nae analijua hili kwani waliliamua pamoja Ikulu.
 
Kama namuona Dr kimei anavyokula jalamba kwenye pitch ya B.O.T. japo siasa sihifahamu Kwa kina ,ila mwigulu hakuwa chaguo sahihi Kwa wizara nyeti Kama fedha.Ni mnafiki aliyejifunika mwamvuli wa uzalendo na maskafu yake ,anajifanya anaupiga mwingi kumbe Ujinga tu
Na sijui ilikuwaje 'Mama' akamteua hapo wakati hata Yeye alishaonywa kuwa nae karibu huyo Waziri Msomi Mpuuzi ni Hatari pia hata Kwake 'Kiusalama' kwani Jamaa alishawahi hata kuwa Mwandamizi wa Matukio ya 'Kimafia' ndani ya Chama na katika Serikali ya Mshauri wake Mkuu wa sasa ( ambaye ni Mstaafu ) wa nafasi aliyonayo sasa.
 
Kwanza gentamycine ni dawa tumeitumia kwa miaka mingi kwa hili mkuu nakupa zote tuombe huenda mama atalifanyia kazi.
Katika Teuzi zote za 'Mama' hii ya Kumteua 'Mafia' huyu Waziri Msomi Mpuuzi nilimshangaa sana kwani katika lile Jopo la Waandamizi wa Chama ( CCM ) waliokuwa wakitaka Kumkwamisha nae alikuwepo tena Kinara kabisa.
 
Back
Top Bottom