Dkt. Charles Kimei anza kupiga 'jaramba', huenda muda wowote ukamrithi aliyeleta tozo za ovyo

Mwigulu hafai lakini hata Dr Kimei hawezi kwa uchumi huu wa sasa. Apewe Prof Adolph Mkenda, Mbunge wa Rombo na Waziri wa Kilimo wa sasa.

Exposure yake kama Mwalimu wa uchumi UDSM, Naibu KM Fedha, KM wa Utalii na kwa sasa Waziri wa Kilimo haina mshindani
 
Umeongea pointi mkuu
 
Watanzania tuishiyo uhamishoni burundi tunashangaa mtu kutoka singida ni waziri wa fedha, wakati tabia za watu wa singida kwenye masuala ya uchumi tunayajua 😂
 
Pia alisema hana haja ya kupendwa na wa Tanzania wote, yanga na watu wa jimboni kwake wanamtosha.
 
Genta hapo kwenye "sacrifice list" nimekukubali unaweza kuwa geneus huku wahuni tunaita ndoano, unatupiwa ikiwa na chambo paap, hii ilikuwa michezo ya JK... huyu Madelu ajiangalie asije akafanywa kama Hamis na wale jamaa zetu wawili Dk na slowslow....
 
Dk mpango ndo alimwingiza Maza Chaka.
 
Kimei hafai. I reserve further comments.
 
Mkuu wewe ni kiboko yao. Salute
 
Na very understanding na wise Sana. Hana magigambo kabisa pamoja na kwamba ni kichwa kizuri sana kwa uchumi. Hata kufauli alifaulu vizuri mno kipindi chake chuoni. Hana skendo na ni mnyenyekevu atamfaa Sana Mh. Rais wetu.
 
Umeandika Utopolo tupu!! Utasubiri sana!!
 
Na very understanding na wise Sana. Hana magigambo kabisa pamoja na kwamba ni kichwa kizuri sana kwa uchumi. Hata kufauli alifaulu vizuri mno kipindi chake chuoni. Hana skendo na ni mnyenyekevu atamfaa Sana Mh. Rais wetu.
Halafu ni mtu wa msimamo. Kumbuka alivyokataa kuelekezwa na Kigwangala kwenye matumizi yaliyo nje ya Bajeti kuwalipa wasanii.

Kama mchaga pekee aliyekuwa na cheo cha juu kwenye Serikali ya Mwendazake, lazima ukubali kuwa ni mzuri na mwema kwelikweli.
 
He's a dead man walking, as simple as that, mpuuzi kabisa huyu...
 
kimei wa nini. Apewe Musa Assadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…