Dkt. Charles Kimei anza kupiga 'jaramba', huenda muda wowote ukamrithi aliyeleta tozo za ovyo

Wachaga huwa mnajua kupigiana kampeni gongo

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Mimi ni Mzanaki na Mmakuwa huo Uchagga unaonihusisha nao umeutoa wapi?

Na bahati nzuri ni kwamba Makabila yangu yote haya hayajatoa tu Mawaziri bali yametoa hadi 'Marais' wa nchi hii.

Nyerere ni Mzanaki mwenzangu na Mkapa ni Mmakuwa mwemzangu hivyo GENTAMYCINE I'm so proud of that.

Kazi Kwako na huu ( huo ) Ubaguzi wako.
 
Mkuu wanapouliza kabila la mtu wanataka kutambika?
 
Bunge limesha pitisha na Mama kasaini hivyo hiyo ni sharia Halali...

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Kuna Watu ni Wapumbavu hapa Tanzania hadi nashangaa kwanini ' third Delta Corona Variant' haijaondoka tu na nyie Udongoni.

Sasa kama ni Sheria baada ya Bunge kuipitisha kwanini Juzi Rais aliingilia Kati na Kiranja wake Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Mawaziri husika wa Fedha na Mawasiliano ya Teknolojia wapo Kikaoni ili Kuirekebisha na Kuibadili kwa Maslahi na Ustawi wa Watanzania?
 
Viwanda na Bishara kutokana na taarifa zinazozunguka.
Kule kwenye uwekezaji ndio Kuna low pressure zaidi.
Mama atuondolee ule mzigo.
Hata huku ubungo watu wamemchoka Kama gogo la mpapai
 
Hahahahahhahaaaa
 
Kweli aiseee !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…