Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Siipendi michango yako kwa kuwa ushabiki ndio ninacho kiona. Ila kwa leo umesema sawa sawa. Asante keep it up.Nani alikuambia hela inatosha wewe ?Hata Jeff wa Amazon anaona pesa haitoshi. Ukiona pesa inatosha jua wewe hauna malengo. Mafanikio ya kipesa hayana limit.
huyo mzee nae apumzike doohh hatari atapeleka wapi ela zote hizo jamani
Habari za asubuhi wadau. Hapa Marangu Mamba Komakundi kibaridi ni kikali 12 centigrade.
Wapambe ni wengi nyumbani kwa Dokta Kimei hapa baada ya kujua Dokta atachukua fomu ya Ubunge Jimbo hili la Vunjo kupitia CCM.
Wapinzani wake wengi bado ni wachovu kama DC wa Zamani Chonjo.
Kila la heri Dokta Kimei.
Mwakeye
Bora wampe huyu kuliko Mbatia ndumila kuwili
Habari za asubuhi wadau. Hapa Marangu Mamba Komakundi kibaridi ni kikali 12 centigrade.
Wapambe ni wengi nyumbani kwa Dokta Kimei hapa baada ya kujua Dokta atachukua fomu ya Ubunge Jimbo hili la Vunjo kupitia CCM.
Wapinzani wake wengi bado ni wachovu kama DC wa Zamani Chonjo.
Kila la heri Dokta Kimei.
Mwakeye
Anataka kutumikia Raia wa Vunjo.huyo mzee nae apumzike doohh hatari atapeleka wapi ela zote hizo jamani
Ukawa hayupo kajisogeza ukiwaHuyu Mbatia wa Ukawa?
Nani kakuambia kuwa utamu wa pesa huwa una kikomo.Kadiri mtu anavyokuwa nazo nyingi,ndo tamaa ya kupata zaidi inavyoongezeka.Mtu hasemi KWAMBA anataka ubunge kwa sababu Kuna pesa nyingi,Huwa wanaficha hizo tamaa na maslahi yao binafsi kwa kusema ati anataka kuwatumikia wananchi..Tazama Jinsi ambavyo wakuu wa mikoa wanavyotamani ubunge(ati akawatumikie wananchi).Kwani katika nafasi ya ukuu wa mkoa,so kila cku unawatumikia wananchi? HATUDANGANYIKI ! We kama unataka ubunge,we gombea TU ki-vyako.Sio ati unagombea kwa kuwa unataka kututumikia.NOOO !Huyu aingii ubunge kutafuta hela
Mara 100 watu kama Hawa kuliko Hawa njaa kali
Ova
Huyu jamaa ameitoa mbali CRD,kuna kipindi niliona Magu anamsifia,nikajua anything can happen.Yap wizara ya Fedha itamuhusu hapo mtaalam huyu wa Uchumi.
Kweli kabisa, bora Kimei. Labda Mbatia aombe jimbo kama alivyoyoomba John Moose Cheyo!Afadhali tumpe kimei jimbo kuliko kulirejesha kwa mbatia.
Tatizo kubwa si kupata Ubunge bali ni pale atakapoupata tu uwezo wake na akili zake atalazimika kuziacha pale kwenye ofisi ndogo ya ccm Marangu na kuvalishwa zile za kiccm.
Kwa maana hiyo hata akishinda tusitarajie mabadiliko.
KAMA MTU ANA UWEZO NI HAKI YAKE KUPEWA NAFASIHiyo ofisi hapewi mchaga hata wakimroga Magu.
Magu anakwambia, hapendwi mtu, inapendwa pesa kwake. Magu amefanya kazi kubwa sana kuwatoa wachaga Hazina na TRA hawezi fanya ujinga huo. Kimei amejaza wachaga kila tawi la CRDB, Magu hawezi ruhusu warudi sehemu nyeti za pesa ya nchi hii akiwa madarakani.
hapo ndipo unakutana na ule msehakuna marefu yasio na ncha.heri jimbo wapewe sisiem lakini sio Mbatia,shenzi sana arudi kwenye viti maalumu na kina mama wenzie
HahahaaaKweli kabisa, bora Kimei. Labda Mbatia aombe jimbo kama alivyoyoomba John Moose Cheyo!
Ni kusema ukweli ulio wazi. Kuwawezesha kabila moja kiuchumu kwa kuwapa ajira, kunawapa purchasing power ambao wasio na hizo ajira hawana, na unawapa nguvu ktk jamii kuliko wasionacho.KAMA MTU ANA UWEZO NI HAKI YAKE KUPEWA NAFASI
HIYO HABARI YA KUPENDELEA WACHAGA NI KUENEZA TU CHUKI ZA KIKABILA