Uchaguzi 2020 Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo

Ila awe makini akiingia chamani akilishwa ile roho ya chama sio kimei tena ni kimeo
 
Alishidwa CCM ? Yaani wachagga bila kuiba CCM haishindi
 
Kuwepo kwa mgombea wa Chadema hapo vunjo kumezuia Kimei kuwa mbunge
 
Kuwepo kwa mgombea wa Chadema hapo vunjo kumezuia Kimei kuwa mbunge

Mkuu upepo unavyo vuma huku ni vizuri ujionee mwenyewe. Moto wa Chadema imeshuka sana. Huku ni jimbo moja tuu mpaka sasa hivi hatujui hali halisi itakavyo kuwa October 29, tutazungumza vizuri. Wachaga wameamua kujiunga meza kuu.
 
Kuwepo kwa mgombea wa Chadema hapo vunjo kumezuia Kimei kuwa mbunge
Mkuu wachaga tumeamua na sisi tusiishie kusindikiza miaka yote 10 ya Magufuli..

Kwa heshima tu, kanda ya Kaskazini atarudi Mbowe pekeake. Asante!!
 
Mtoa rushwa. Mimi siyo nampinga, ninachosema Mzee Kimei siyo msafi kama mnavyomdhania.
Unajisikiaje na makelele na chuki zako kwa Kimei lakini kateuliwa??

Utajisikiaje pia akipewa Wizara?? Utamwona Magufuli hafai au utajutia kumtukana Kimei??
 
Mkuu wachaga tumeamua na sisi tusiishie kusindikiza miaka yote 10 ya Magufuli..

Kwa heshima tu, kanda ya Kaskazini atarudi Mbowe pekeake. Asante!!

Wale wazee hawakubeba yale masale bure bhana. Lazima wamfurahishe mkuu kwa kuifanya KLM kuwa ya kijani.
 
Kweli, kule CDM hawana upepo mzuri kabisa. Sijui wanakwama wapi..sema watu wa kule ni very selective. Hawaingiliki kwa maneno maneno na harakati.
Ulishawahi kusikia miaka yote hiyo Uchaggani watu wanaandamana?? Uchaggani kule hakuna dhamana, hata ukigombea Chauma wakikuona unafaa wanakupa kura za kishindo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…