SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Ina maana lile biriani limeingizwa mkenge au litapewa viti maalum?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaa labda viti maalum Maana ashazoea yule.Ina maana lile biriani limeingizwa mkenge au litapewa viti maalum?
Bila shaka hagawi chai
Si mpaka apewe?kama sio jk huyo mbatia angejulikana?heri jimbo wapewe sisiem lakini sio Mbatia,shenzi sana arudi kwenye viti maalumu na kina mama wenzie
Ila awe makini akiingia chamani akilishwa ile roho ya chama sio kimei tena ni kimeo
Habari za asubuhi wadau. Hapa Marangu Mamba Komakundi kibaridi ni kikali 12 centigrade.
Wapambe ni wengi nyumbani kwa Dokta Kimei hapa baada ya kujua Dokta atachukua fomu ya Ubunge Jimbo hili la Vunjo kupitia CCM.
Wapinzani wake wengi bado ni wachovu kama DC wa Zamani Chonjo.
Kila la heri Dokta Kimei.
Updates...
Mambo Tayari Dkt. Kimei Ashachukua Fomu.View attachment 1502594
View attachment 1506539
Alishidwa CCM ? Yaani wachagga bila kuiba CCM haishindi
Habari za asubuhi wadau. Hapa Marangu Mamba Komakundi kibaridi ni kikali 12 centigrade.
Wapambe ni wengi nyumbani kwa Dokta Kimei hapa baada ya kujua Dokta atachukua fomu ya Ubunge Jimbo hili la Vunjo kupitia CCM.
Wapinzani wake wengi bado ni wachovu kama DC wa Zamani Chonjo.
Kila la heri Dokta Kimei.
Updates...
Mambo Tayari Dkt. Kimei Ashachukua Fomu.View attachment 1502594
View attachment 1506539
Hahahaaa ishakula kwake kama walikua na Lengo la kumpa wasingemwekea kimei.Sasa mbatia si tulikubaliana kumwachia majimbo 20, likiwa na hili lake
Kuwepo kwa mgombea wa Chadema hapo vunjo kumezuia Kimei kuwa mbunge
Habari za asubuhi wadau. Hapa Marangu Mamba Komakundi kibaridi ni kikali 12 centigrade.
Wapambe ni wengi nyumbani kwa Dokta Kimei hapa baada ya kujua Dokta atachukua fomu ya Ubunge Jimbo hili la Vunjo kupitia CCM.
Wapinzani wake wengi bado ni wachovu kama DC wa Zamani Chonjo.
Kila la heri Dokta Kimei.
Updates...
Mambo Tayari Dkt. Kimei Ashachukua Fomu.View attachment 1502594
View attachment 1506539
Kuwepo kwa mgombea wa Chadema hapo vunjo kumezuia Kimei kuwa mbunge
Kuwepo kwa mgombea wa Chadema hapo vunjo kumezuia Kimei kuwa mbunge
Lucy Owenya hagombei jimbo la Vunjo yeye anagombea Moshi Vijijini ...Yani Lucy Owenya amshinde Kimei? Hahaha nani anamjua kwanza huyo Lucy huko Vunjo?
Lucy Owenya hagombei jimbo la Vunjo yeye anagombea Moshi Vijijini ...
Cdm vuunjo haina wanachamaOkay, Asante kwa update. au CDM wamemrudisha John Mrema?
Mkuu wachaga tumeamua na sisi tusiishie kusindikiza miaka yote 10 ya Magufuli..Kuwepo kwa mgombea wa Chadema hapo vunjo kumezuia Kimei kuwa mbunge
Cdm vuunjo haina wanachama
Unajisikiaje na makelele na chuki zako kwa Kimei lakini kateuliwa??Mtoa rushwa. Mimi siyo nampinga, ninachosema Mzee Kimei siyo msafi kama mnavyomdhania.
Mkuu wachaga tumeamua na sisi tusiishie kusindikiza miaka yote 10 ya Magufuli..
Kwa heshima tu, kanda ya Kaskazini atarudi Mbowe pekeake. Asante!!
Ulishawahi kusikia miaka yote hiyo Uchaggani watu wanaandamana?? Uchaggani kule hakuna dhamana, hata ukigombea Chauma wakikuona unafaa wanakupa kura za kishindo..Kweli, kule CDM hawana upepo mzuri kabisa. Sijui wanakwama wapi..sema watu wa kule ni very selective. Hawaingiliki kwa maneno maneno na harakati.