Uchaguzi 2020 Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo

Kweli, kule CDM hawana upepo mzuri kabisa. Sijui wanakwama wapi..sema watu wa kule ni very selective. Hawaingiliki kwa maneno maneno na harakati.
Mwanzilishi anazaliwa kule, sema NCCR TLP, CCM wamerudi NCCR sasa watarudi CCM
 
Wale wazee hawakubeba yale masale bure bhana. Lazima wamfurahishe mkuu kwa kuifanya KLM kuwa ya kijani.
Chadema wasije kujidanganya na kambi ya Kaskazini. Lema mwenyewe anapumulia mashine.. Pale Moshi mjini tayari kwa mara ya kwanza tangia uchaguzi wa vyama vingi Jimbo litaenda CCM.. Moshi vijijini, Vunjo, Rombo, Siha ni sure bet kwa CCM. Upareni wao miaka yote ni CCM damudamu
 

Chadema wamejiwekeza kwenye majimbo ya mtandaoni zaidi. KLM round hii ni kijani tupu.
 
Mwanzilishi anazaliwa kule, sema NCCR TLP, CCM wamerudi NCCR sasa watarudi CCM

Yeah, mwanzilishi hatoki mbali sana na kwa mzee Mrema. Ila hakai huko Vunjo. CDM inahitaji kubadili mfumo wake. Waachane na harakati ndio wataweza kusikilizwa KLM. Watu hawataki kelele na fujo huko.
 
Wewe mbumbumbu hujui chochote , sitapateza muda
Aiseee mbumbumbu ni wewe.. Huyo Lucy nani anamjua?? Acha masihara wewe..

Kwanza huyo alitakiwa akagombee kwa mkwewe Moshi Mjini au asili yao Moshi Vijijini

We akili huna kabisa. We huoni hilo jimbo mwenye nalo kalikimbia anagombea Ukonga?? Anajua ambacho angekipata
 
Mkuu wachaga tumeamua na sisi tusiishie kusindikiza miaka yote 10 ya Magufuli..

Kwa heshima tu, kanda ya Kaskazini atarudi Mbowe pekeake. Asante!!
Nakuandaa kisaikolojia ; Magufuli mwisho wake ni miaka mitano 5 tu , inauma sana lakini huu ujio wa Lissu umehitimisha kikatiri sana urais wa Magufuli .
 
Nakuandaa kisaikolojia ; Magufuli mwisho wake ni miaka mitano 5 tu , inauma sana lakini huu ujio wa Lissu umehitimisha kikatiri sana urais wa Magufuli .
Teh teh teh miaka yangu yote sijawahi kuipigia CCM kura..

Kama hizo ndio ndoto zako, basi tukutane October πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama akipata ubunge basi anaweza akawa waziri wa fedha...
Mpango kaa chonjo kimei anakuwashia indiketa ya kukuovateki....
 
Mkuu upepo unavyo vuma huku ni vizuri ujionee mwenyewe. Moto wa Chadema imeshuka sana. Huku ni jimbo moja tuu mpaka sasa hivi hatujui hali halisi itakavyo kuwa October 29, tutazungumza vizuri. Wachaga wameamua kujiunga meza kuu.
uko nyuma sana , mara kadhaa nimewaambia wenzio humu kwamba kuiteketeza ccm nchi nzima kunahitaji siasa za jukwaani za siku 7 tu , nadhani umejionea mwenyewe .

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE

kwahiyo kumbe hakuna chama cha siasa kinachoweza kubebwa milele na Polisi au tume
 
Lyatonga Mrema atarudi kweli bungeni?
 
Teh teh teh miaka yangu yote sijawahi kuipigia CCM kura..

Kama hizo ndio ndoto zako, basi tukutane October πŸ˜‚πŸ˜‚
Hata octoba ya 2015 Magufuli hakushinda , Kikwete , Kinana , January na Lubuva wanajua , lakini Lissu siyo Lowassa , ukitaka matokeo kamili njoo PM
 
Lyatonga Mrema atarudi kweli bungeni?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Parole panamtosha huyo..

Kitendo cha Kimei kipitishwa kamati kuu akiwa mshindi wa pili ni ishara tosha wana mipango nae..
 
Hata octoba ya 2015 Magufuli hakushinda , Kikwete , Kinana , January na Lubuva wanajua , lakini Lissu siyo Lowassa , ukitaka matokeo kamili njoo PM
Tofautisha 2015 na 2020 mkuu.. 2015 EL alishinda na Maalim pia..

Lakini mwaka huu mwamko sio ule, wengi hawatapiga kura sababu ya discoragement ya chaguzi ndogo zilizofanyika pamoja na ule wa serikali za mitaa..

Angalieni tu Mbowe asiwe nae ni Afisa Kipenyo πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hasira zako za kuporwa jimbo hazijapoa tu mama? Lugha zilizokosa stara za nini sasa?
ukilewa usiingie jf , hivi kimei ameisaidia nini vunjo , ukiacha crdb kuwa benki iliyogharamia manunuzi ya wasaliti ? unamfahamu kimei kweli wewe ?
 

Hahaha hapo kwa Mbowe lipo wazi.
 
nakushukuru kwa kuelewa kwamba Lowassa alishinda kwa zaidi ya kura mil 10 na aliyepata mil 3 unusu ndio akatangazwa , lakini elewa kwamba wengi watapiga kura kwa Lissu na hasa baada ya kufichua kwamba hatakubali kuibiwa
 
ukilewa usiingie jf , hivi kimei ameisaidia nini vunjo , ukiacha crdb kuwa benki iliyogharamia manunuzi ya wasaliti ? unamfahamu kimei kweli wewe ?

Yani unataka kuniambia wewe unaifahamu Vunjo kuliko mimi? Hahaha bado una marue rue ya kutoswa jimbo wewe.

Uliza saccos za kina mama kule na training jinsi ya kutunza fedha zao, harambee za mashule na barabara, kituo cha polisi center Marangu mtoni n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…